nikisema niweke maelezo yote hapa nitajaza kurasa na ww utaboreka kusoma. ila kifupi ni kwamba jamaa nilimaliza nae olevel miaka 7 nyuma. tukawa hatuna mawasiliano ila siku ya tukio nikapokea simu kuuliza ni yy akadai namba yangu amepata facebook then akaja kwangu mchana wake tukala chakula cha mchana pamoja nyumbani kwangu kuna mda around saa kumi hv nkaenda uani kurudi nikakuta mgeni hayupo wife alikuwa amejipumzisha chumbani hakujua nn kinaendelea sebuleni kuja kutahamaki simu yangu haipo na wallet ilikuwa kwa kocha nililokaa nikakuta dollar 300 za office hakuna. so kaiba dollar300 na simu aina ya blu energy 2 thamani ya laki 4....
nikatoa taarifa polisi kasheshe ikawa kwenye ufatiliaji longo longo kibao.. polisi wanatak kiasi cha laki 3 ili wafanye kazi nikaikosa hyo hela.. nikashauri niende tcra wao nao hawatoi huduma hyo nikaamua niachane nayo...
ubaya jamaa ananipigia simu nimtumie hela ili anielekeze wap nitakapoifata.... ndo mana nahitaji kupata app ya location tracker ili niweze ifanya hyo kaz mwenyewe uzuri rb ninayo