Link: JK - CHADEMA

Serikali ya CCM imetumia zaidi ya Bilioni 200 za Richmond kutengeneza ajira kwa kikundi cha watu wachache wakati Serikali ya CHADEMA ingehakikisha fedha hizo zinatumika kuzalisha nishati ya kweli ya kulikomboa taifa. Huu ni mfano tu

Asha

bado hujajibu swali ! unajua hadi hivi sasa serikali ya ccm imezalisha ajira ngapi ? au ndio unajaribu kukataa ukweli bi. asha ? wewe kimbia lakini nataka utueleze kama unajua ni ajira ngapi zimetolewa hadi hivi sasa.... and i challenge mnyika as well on this one !

Richmond naona sasa hiyo ishakuwa hoja ya kipropaganda, maana unaelewa fika kwamba ccm haikubenefit vyovyote na hizo pesa, but yet you still keep pushing it..
 
Miaka Kumi nyuma kama ungemwambia mtu kuwa uchumi wa Angola unaweza kutengeneza ajira milioni moja angekwambia acha mizaha! Leo wametulia kasi ya kukua kwao kwa uchumi inaenda na ongezeko kubwa la ajira. Miaka 10 nyuma ungemwambia ka nchi kadogo kama Norway kangetengeza ajira nyingi na welfare ya kiasi walichonacho sasa cha kuwalipa hata wasiofanya kazi ungesema ni ndoto kabisa, leo wamegundua mafuta na wanayachimba vizuri wamefika huko. Kwa nini hatuamini kwamba Tanzania na rasilimali ambazo Mungu amezitoa tunaweza? Nini ajira milioni moja, kukiwa na sera nzuri ya kisiasa, kiuchumi na kijamii Tanzania inauwezo wa kubadili hata Maelfu ya Wamachinga kuwa wawakezaji. Inaweza kubadili Malaki ya Wachimbaji wadogo kuwa wenye kujitegemea. Na inaweza Kubadili Mamilioni ya Wakulima kuwa na kilimo cha ajira badala ya kilimo cha kupata na kura. It takes a mindset and a visionary leadership. Perhaps CHADEMA had that in mind. Labda tuwaulize wakina Kitila, Zitto na Mnyika waliojikoni. Wanafikirije?

Asha

Asha mimi sipingani na ideology za CHADEMA, bali napinga mtu anaesema anaweza kutengeneza kazi million moja. Ugunduzi wa mafuta kwa Angolo ni different case na uchimbaji wa madini. Oil extraction inaitaji watendaji wengi lakini kuformulate ajira million moja naliweka swala hilo kwenye kiilizo. Kama unaweza naomba secondary source ya uzalishaji wa kazi million.

Luckly enough I know Zitto personal, i will challange him on this question. Nafahamu anaujua uchumi and he knows the law of demand and supply. Nashangaa kwa nini wameweza kuweka political spin policy kama hiii kwenye policy zao.

Nakubaliana na wewe kwenye swala kusubsidizing kilimo, na hili swala linaitaji engineer wakubwa wa uchumi wa kilimo. Hata hivyo hili ni swala la long term plan, hatuna uwezo wa kufund wakulima wapya million kwa mwaka, tuta drive our food price down to the tube and every one will quit agriculture. Haya mambo yanaitaji very smart strategic vision and mission.

Kusema tutaanzisha kazi million moja kwa mwaka ni imposible. Hata kama tutachukua economic tycoon kutoka US Federal Bank au Wharton School of Business hatuwezi kuanzisha kazi million moja ndani ya Tanzania. We will cause chaos on the whole financial sector.

Nakubaliana na wewe tunaweza kukuza uchumi wetu kwa double digit kwa miaka za ya 15. Na tukafanya brake even kwenye swala la umasikini.
 
bado hujajibu swali ! unajua hadi hivi sasa serikali ya ccm imezalisha ajira ngapi ? au ndio unajaribu kukataa ukweli bi. asha ? wewe kimbia lakini nataka utueleze kama unajua ni ajira ngapi zimetolewa hadi hivi sasa.... and i challenge mnyika as well on this one !

Richmond naona sasa hiyo ishakuwa hoja ya kipropaganda, maana unaelewa fika kwamba ccm haikubenefit vyovyote na hizo pesa, but yet you still keep pushing it..

Serikali ya CCM imetumaliza Kada, wewe unajua hilo, JK anajua hilo na mimi nafahamu ilo. Imeleta wawekezaji wanaowekeza, kisha wakatumia majina ya nchi yetu kuja kwenye NYSE na kurise capital kisha wakiwa wameajiri watu wawili au watatu kwenye top management.

Mfano log in yahoo finance, then ingiza TSE kwenye search, angalia capital aliyo rise huyo mnaemuita investor, then nenda kwenye website yao kaangalie kampuni yake ina wafanyakazi wangapi. CCM hawajafanya lolote kwenye sector ya uzalishaji wa kazi.
 
leo chadema watakimbia hapa, wakigeuka kulia kuna sam, wakigeuka kushoto kuna kada, mbele kuna zemacorpolo, na wengine sasa tunafuatia.

kwi kwi kwi kwi, sijui watajificha wapi mwaka huu.

Kumbe mko hapa kwa ushabiki mambo ya simba na yanga si tulidhani ni wakereketwa wa maendeleo, kazi kweli kweli!
 
Kumbe mko hapa kwa ushabiki mambo ya simba na yanga si tulidhani ni wakereketwa wa maendeleo, kazi kweli kweli!

Unaweza kudhani kuwa ni simba na yanga lakini angalau wana ccm nao sasa wanaonyesha kuwa nao wana say hapa.
 
Asha mimi sipingani na ideology za CHADEMA, bali napinga mtu anaesema anaweza kutengeneza kazi million moja. Ugunduzi wa mafuta kwa Angolo ni different case na uchimbaji wa madini. Oil extraction inaitaji watendaji wengi lakini kuformulate ajira million moja naliweka swala hilo kwenye kiilizo. Kama unaweza naomba secondary source ya uzalishaji wa kazi million.

Luckly enough I know Zitto personal, i will challange him on this question. Nafahamu anaujua uchumi and he knows the law of demand and supply. Nashangaa kwa nini wameweza kuweka political spin policy kama hiii kwenye policy zao.

Nakubaliana na wewe kwenye swala kusubsidizing kilimo, na hili swala linaitaji engineer wakubwa wa uchumi wa kilimo. Hata hivyo hili ni swala la long term plan, hatuna uwezo wa kufund wakulima wapya million kwa mwaka, tuta drive our food price down to the tube and every one will quit agriculture. Haya mambo yanaitaji very smart strategic vision and mission.

Kusema tutaanzisha kazi million moja kwa mwaka ni imposible. Hata kama tutachukua economic tycoon kutoka US Federal Bank au Wharton School of Business hatuwezi kuanzisha kazi million moja ndani ya Tanzania. We will cause chaos on the whole financial sector.

Nakubaliana na wewe tunaweza kukuza uchumi wetu kwa double digit kwa miaka za ya 15. Na tukafanya brake even kwenye swala la umasikini.

duh ! nimesoma maelezo yako na ni mazuri sana ila sina uhakika yana ukweli kiasi gani, lakini kama ni kweli ajira milioni moja haiwezi kutengenezwa, basi hiyo ni political agenda wanayotumia wanasiasa.. also, sidhani kama walimaanisha ajira milioni kwa mwaka mmoja, i think itachukua zaidi ya miaka miwili to do so !
 
Try to Avoid guess work!
 
Kwa hiyo hata Jk mwenyewe anatambua kwamba CHADEMA ni kimbilio la walalahoi sio? Kwa kweli ni jambo zuri sana kama anaufahamu ukweli! Sasa na wewe shida iko wapi?

Ndio inawezekana kabisa kutengeneza ajira Milioni Moja kwani kwa kuangalia mapato pesa zilizopotea ktk utawala uliopita nahuu wa sasa,Richmond,IpTL,TANGOLD,KIWIRA,EPA etc jumla ya Bilioni 656 zingewekezwa kwenye Elimu,Afya na kuteneneza viwanda vya ndani,tungeweza kabisa kutengeneza ajira mpya karibia milioni moja kwani fedha hizo tungeweza kuzitumia kama dhamana ya kupata kiasi kama hicho zaidia ya mara tano kutoka IMF,WB na asasi zingine za kifedha za kimataifa

Aisee
 
Chama ambacho hakijui kinahitaji muda gani kuunda serikali kikitoa ahadi za muda unaohitajika kutengeneza ajira ujue ni porojo tu. Kabla CHADEMA hawajaanza kuongea porojo za kuunda ajira X kwa muda t ni lazima kwanza wafafanue wataunda serikali Y ( ya majimbo) kwa muda gani T?

Kama jibu hili halitolewi basi CHADEMA ni genge la opportunists tu na si chama chenye lengo la kuongoza nchi ya Tanzania.
Dah! JF ni zaidi ya blogu uchwara na vigazeti uchwara wallahi.
 
Back
Top Bottom