Martin George
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,695
- 1,470
Wenzetu Kenya tume yao ya uchaguzi IEBC INA uwezo wa kumuondoa mgombea yeyote anayehusishwa na ufisadi. Hapa Tanzania NEC inaweza kumzuia fisadi yeyote asigombee uongozi ktk uchaguzi mkuu?
Thanx nitawaomba mods warekebisheRekebisha heading
Wameondolewa magavana na wabunge mafisadi zaidi ya 20Uhuru na ruto wamemuondoa?