Lini magamba watasema ukweli?

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
1,932
..Walituambia kuwa makali ya mgao wa Umeme yatapungua. Lakini naambiwa Arusha mambo yanazidi kuwa magumu. Hadi operations Mount Meru hospital zinafanywa kwa kutumia rechargeable lights na kuwa kuna sehemu zimepata umeme saa zisizozidi 5 wiki hii.
Naanza kuogopa kila nikisikia ahadi toka serikali ya m.k.were
 

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,942
4,396
Ulipiga kura mwaka jana?

2.jpg


Check Magamba wanavyo wapisha wanaume road
 

Spear_

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,591
434
Mkuu usijali ipo siku tu watasema kweli!! hata mchawi anapokaribia kufa hutaja mambo yote aliyowahi kufanya!!

Kuna kitu nimegundua kwamba kila Ngeleja akitangaza mgao kwisha ndo unakuwa mkali..hii sio mara ya kwanza....sijui huyu jamaa ni mchawi!!!
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom