Nimemsikia Rais Dr.John P . Magufuli akitupa "dongo" kuwa kuna hata Vyama vya siasa ambavyo ni mabingwa wa kuitaka Serikali kuhamia Dodoma lakini wao makao yao Makuu yako Dar es Salaam!
Wadau ebu mnijuze licha ya ofisi za CHADEMA Makao Makuu pale Kinondoni Makaburini mtaa wa Ufipa kutokuwa na hadhi wanazo hata ndoto za kuhamia Dodoma! ?
Mtu mwenye akili nzuri akitaka kujua ni lini CHADEMA wanaweza kukabidhiwa Ikulu ya Magogoni ni kuangalia hadhi ya Ofisi yao na Ikulu ilivyo!
Ni Mlima Kilimanjaro na Kichuguu! Mlango wa ofisi yao utadhani ni "frame" ya Butchery pale Shekilango Legho! Msitoe Mapovu,njooni na maelezo ya maana na pia m-justfy ruzuku mnazotafuna na fedha za wafadhili!
Pia elezeni ni kwa nini Lowassa hatumii hizo "frame" zenu badala yake anatumia "godown" zake !?