Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Mbunge (ACT) ktk Mkoa wa Kigoma Zito Kabwe alitoa mchango wake Bungeni, ambao hata Serikali yenyewe imeukubali na kusema kwamba itaufanyia kazi, Serikali imekubali mapendekezo ya Zito Kabwe ambapo ameongelea mambo muhimu sana kama vile kupambana na ufisadi na jinsi tunavyoibiwa sisi kama nchi na Makampuni ya nje na nini au kipi kifanyike ili kuweza kuokoa nchi yetu!
Sasa njoo kwa chadema chini ya KUB Mbowe ametumia muda wake wote kuitaka Serikali ionyeshe Bunge live kwenye TV kana kwamba hilo ndiyo tatizo kubwa linalotukabili WatanZania!
Sasa nimeelewa ni kwa nini Zito Kabwe alishindwa kufanya kazi na viongozi wa chadema, hivi Zito Kabwe angewezaje kukaa meza moja na mtu kama Msigwa au Mbilinyi (SUGU) na kujadili jambo na kufikia suluhisho??? halafu bado wanategema kuongoza nchi hii, hapo mtasubiri sana!

Zito Kabwe Mbunge Kigoma ACT
vs
Mwanadiplomasia wa chadema Mb.Msigwa (Iringa)!