Linganisha Zitto Kabwe na Wabunge wa CHADEMA

Mbunge (ACT) ktk Mkoa wa Kigoma Zito Kabwe alitoa mchango wake Bungeni, ambao hata Serikali yenyewe imeukubali na kusema kwamba itaufanyia kazi, Serikali imekubali mapendekezo ya Zito Kabwe ambapo ameongelea mambo muhimu sana kama vile kupambana na ufisadi na jinsi tunavyoibiwa sisi kama nchi na Makampuni ya nje na nini au kipi kifanyike ili kuweza kuokoa nchi yetu!

Sasa njoo kwa chadema chini ya KUB Mbowe ametumia muda wake wote kuitaka Serikali ionyeshe Bunge live kwenye TV kana kwamba hilo ndiyo tatizo kubwa linalotukabili WatanZania!

Sasa nimeelewa ni kwa nini Zito Kabwe alishindwa kufanya kazi na viongozi wa chadema, hivi Zito Kabwe angewezaje kukaa meza moja na mtu kama Msigwa au Mbilinyi (SUGU) na kujadili jambo na kufikia suluhisho??? halafu bado wanategema kuongoza nchi hii, hapo mtasubiri sana!
Zito Kabwe Mbunge Kigoma ACT

vs
Mwanadiplomasia wa chadema Mb.Msigwa (Iringa)!
 
Hoja yako haieleweki.
Maana unaongelea mambo ya bungeni na mwisho unatuwekea video clips za mazingira tofauti.

Kwanini usingetuwekea clips za wahusika wote katika mada yako wakiwa bungeni?
Idiot

Hapa umeongea kama mwalimu, mtoa hoja kama ana akili timamu, atajifunza kupitia hapa.

Ova
 
Kwanza kwa kukusaidia tu, wala siyo TZ bali hata hapa Dar tu, watu wenye TV hiyo 15% hawafikiii, yaani namaanisha wenye TV majumbani mwao na siyo wanao angalia Bar!
Kwa kuwa kiwango cha utazamaji wa luninga ulitaka kutumia kujenga hoja yako, basi kwanini ungetumia idadi ya tv zote zikiwemo za kwenye maofisi, kwenye mabaa; nakadhalika! Btw, hoja yako ya msingi ambayo wewe unaoiona ya maana ni ya kipuuzi mno!
 
Mbunge (ACT) ktk Mkoa wa Kigoma Zito Kabwe alitoa mchango wake Bungeni, ambao hata Serikali yenyewe imeukubali na kusema kwamba itaufanyia kazi, Serikali imekubali mapendekezo ya Zito Kabwe ambapo ameongelea mambo muhimu sana kama vile kupambana na ufisadi na jinsi tunavyoibiwa sisi kama nchi na Makampuni ya nje na nini au kipi kifanyike ili kuweza kuokoa nchi yetu!

Sasa njoo kwa chadema chini ya KUB Mbowe ametumia muda wake wote kuitaka Serikali ionyeshe Bunge live kwenye TV kana kwamba hilo ndiyo tatizo kubwa linalotukabili WatanZania!

Sasa nimeelewa ni kwa nini Zito Kabwe alishindwa kufanya kazi na viongozi wa chadema, hivi Zito Kabwe angewezaje kukaa meza moja na mtu kama Msigwa au Mbilinyi (SUGU) na kujadili jambo na kufikia suluhisho??? halafu bado wanategema kuongoza nchi hii, hapo mtasubiri sana!
Zito Kabwe Mbunge Kigoma ACT

vs
Mwanadiplomasia wa chadema Mb.Msigwa (Iringa)!

Tatizo lako unachuki na wabunge wa CHADEMA bora ungenyamaza kuliko kujitoa akili.
 
Unapombishia huyo ungeanza kuuliza kwanza Watanzania asilimia ngap wanaumeme? Ndo utajua kumbe hata hzo asilimia 15 alizoweka huyo ni nyingi

Hata kwenye SIMU watu wanasikilizia BUNGE
 
Mbunge (ACT) ktk Mkoa wa Kigoma Zito Kabwe alitoa mchango wake Bungeni, ambao hata Serikali yenyewe imeukubali na kusema kwamba itaufanyia kazi, Serikali imekubali mapendekezo ya Zito Kabwe ambapo ameongelea mambo muhimu sana kama vile kupambana na ufisadi na jinsi tunavyoibiwa sisi kama nchi na Makampuni ya nje na nini au kipi kifanyike ili kuweza kuokoa nchi yetu!

Sasa njoo kwa chadema chini ya KUB Mbowe ametumia muda wake wote kuitaka Serikali ionyeshe Bunge live kwenye TV kana kwamba hilo ndiyo tatizo kubwa linalotukabili WatanZania!

Sasa nimeelewa ni kwa nini Zito Kabwe alishindwa kufanya kazi na viongozi wa chadema, hivi Zito Kabwe angewezaje kukaa meza moja na mtu kama Msigwa au Mbilinyi (SUGU) na kujadili jambo na kufikia suluhisho??? halafu bado wanategema kuongoza nchi hii, hapo mtasubiri sana!
Zito Kabwe Mbunge Kigoma ACT

vs
Mwanadiplomasia wa chadema Mb.Msigwa (Iringa)!

inauma sana, zitto alitendwa!!!
 
Hapa naona Nifah na huyu mleta mada mnajibishana kwa jambo lisilo na maana!
Kwamba kwakuwa wakazi wenye TV hawafiki asilimia 15 so hakuna haja ya kuonesha bunge live,ni ujinga kufikiri kwa namna hii!
Nami nasema kama wenye tv hawafiki 15%,kwenye hiyo 15% kila mtu anapenda kuangalia kituo chake,ukitumia common sense kama mleta mada anavyopendekeza,ni wazi wadau wanaofatilia vipindi vya TBC kati ya hao 15% wenye TV hawafiki hata 1%(hapa nazungumzia vipindi vya kila siku vya kawaida isipokuwa bunge live).Kwa mantiki hiyo ni sawa tupendekeze TBC izimwe na isiwepo kabisa kwasababu ni asilimia ndogo sana ya watz huangalia TBC hivyo ni kutumia gharama za wote kuwanufaisha wachache!Huu ndio ujinga ambao mleta mada na Nifah mnapoteza muda kuujadili.
Kama wenye tv ni wachache so bunge lisiwe live,je,likirekodiwa ndio wenye tv wanaongezeka?kama hapana,TBC izimwe kabisa kwa msingi huo wa asilimia chache kuangalia!
 
Hapa naona Nifah na huyu mleta mada mnajibishana kwa jambo lisilo na maana!
Kwamba kwakuwa wakazi wenye TV hawafiki asilimia 15 so hakuna haja ya kuonesha bunge live,ni ujinga kufikiri kwa namna hii!
Nami nasema kama wenye tv hawafiki 15%,kwenye hiyo 15% kila mtu anapenda kuangalia kituo chake,ukitumia common sense kama mleta mada anavyopendekeza,ni wazi wadau wanaofatilia vipindi vya tbc kati ya hao 15% wenye TV hawafiki hata 1%(hapa nazungumzia vipindi vya kila siku vya kawaida isipokuwa bunge live).Kwa mantiki hiyo ni sawa tupendekeze TBC izimwe na isiwepo kabisa kwasababu ni asilimia ndogo sana ya watz huangalia TBC hivyo ni kutumia gharama za wote kuwanufaisha wachache!Huu ndio ujinga ambao mleta mada na Nifah mnapoteza muda kuujadili.
Kama wenye tv ni wachache so bunge lisiwe live,je,likirekodiwa ndio wenye tv wanaongezeka?kama hapana,TBC izimwe kabisa kwa msingi huo wa asilimia chache kuangalia!
Kabla ya kukurupuka kutoa maoni yako uwe unasoma kwanza na kuelewa hoja ya kila mmoja.
Nasikitika hujanielewa na hujaliona hilo.
 
Hauhitaji takwimu ni swala la common sense tu! Angalia Mtaa unaoishi kuna familia ngapi zina TV? Usisahau kwamba sehemu kubwa ya wakazi wa Dar wanaishi Mbagala, Tandale, Manzese, Kiwalani, Buguruni, Ilala Kota (kwetu), Ubungo Maziwa, Tabata Kimanga, Magomeni Mapipa, Mburahati, Mabibo n.k
Mkuu inamaana sehemu ulizotaja familia chache ndio zina TV? Waombe msamaha tafadhali.
 
Mbunge (ACT) ktk Mkoa wa Kigoma Zito Kabwe alitoa mchango wake Bungeni, ambao hata Serikali yenyewe imeukubali na kusema kwamba itaufanyia kazi, Serikali imekubali mapendekezo ya Zito Kabwe ambapo ameongelea mambo muhimu sana kama vile kupambana na ufisadi na jinsi tunavyoibiwa sisi kama nchi na Makampuni ya nje na nini au kipi kifanyike ili kuweza kuokoa nchi yetu!

Sasa njoo kwa chadema chini ya KUB Mbowe ametumia muda wake wote kuitaka Serikali ionyeshe Bunge live kwenye TV kana kwamba hilo ndiyo tatizo kubwa linalotukabili WatanZania!

Sasa nimeelewa ni kwa nini Zito Kabwe alishindwa kufanya kazi na viongozi wa chadema, hivi Zito Kabwe angewezaje kukaa meza moja na mtu kama Msigwa au Mbilinyi (SUGU) na kujadili jambo na kufikia suluhisho??? halafu bado wanategema kuongoza nchi hii, hapo mtasubiri sana!
Zito Kabwe Mbunge Kigoma ACT

vs
Mwanadiplomasia wa chadema Mb.Msigwa (Iringa)!

Zito Kabwe atabaki kuwa akili kubwa hapa nchini
Cc Zito Kabwe ndie rais ajaye 2025
 
Ungeweza kumsifu Zitto Kabwe kwa namna ya pekee bila kuleta mlinganyo kwa watu wengine na bado ingeeleweka.
Hii tabia ya kulinganisha kila kitu na kitu kingine sio nzuri.
Ni uchonganishi na haifai kabisa.
 
Back
Top Bottom