Linganisha picha ya UKAWA na CCM Mbeya jijini

Linganisha picha ya UKAWA na CCM Mbeya jijini

Ama kweli akilindogo ikiongoza akili kubwa ni shida,mbeya mjini iko chini ya uongoz wa chadema lakini bado tu na hlo unabisha!
 
Shida yetu watz tunashindwa kutofautisha magufuli anaenda kila wilaya lakini lowassa walosombwa iringa njombe rukwa na wilaya zote za mbeya... acheni kujitekenya na kucheka wenyewe kama uhakika upo kwanini mna mashaka... oct 25 ndo kila kitu... tuache kuigiza

Mkuu.
Wilaya zetu nyingi hazina viwanja vya kuutoshereza umati wa ukawa.
Na endapo atafanya hivyo jeshi la polisi litatengeneza matamko mengi sana.
Sipati picha eti Lowasa aweke mkutano Biafra au Machava pale Kigamboni.
Ndicho anachikifanya Magufuri huku kwetu.
Kafanya mmoja Tunduma, mwingine hapa mjini na mwingine Chunya kama sijakosea.
Na kwa taarifa yako ukawa hawawasombi watu.
Fatilia mikutano ya ccm ndo utakuta parking zimejaa maroli.
Wenye picha za maroli tuwekeeni jamani.
 
Tuwe wa kweli ni wawazi. Kwenye suala la watu UKAWA wako juu sana na kwa sababu moja kuu, vibaka, malofa, wapumbavu na mafukara wapo wengi sana mitaani na hao ndio wanaounga mkono UKAWA na ndio wapiga kura wa mwaka huu.

Ni utamaduni wa kawaida sana kwa CCM kuwabeba watu kuwaleta mkutanoni, kwa mfano siku ya jana wakati Magufuli anawasili Mbeya msafara wake muda wote ulipokuwa ukipita barabarani ulikumbana na watu wa CHADEMA wakionyesha vidole viwili hewani, lakini alipofika uwanja wa mkutano alikuta wanaCCM ndio wamejaa uwanjani. Sasa jiulize waliokuwa barabarani walitokea wapi na waliofika uwanjani walitokea wapi?
 
Ccm huwa wanatengeneza mafuriko kwa kusomba watu kwa maroli , na hasa wa vijijini na ndio maana lazima wawe wamepika wali siku ya mikutano yao ili kuwalisha watu walio wasomba kutoka mbali😱

Una uhakika?
 
Kujaza uwanja sio isue ila hao magufuli aliowajaza hapo nusu ni lowasa maana wale wa uzinduzi pale wapo ndugu zangu wa damu nje kijani ndani lowasa hapo ndio ccm watadondokea naamini UKAWA mapemaaa watanzaa kucheza kiduku
 
hizo picha za ccm zimekatwa check upande w
11960203_997205300300351_3960735533819181543_n.jpg
a barabara utaona mView attachment 281479aa
View attachment 281554 Ukizoom utaona vizuri hizi picha, angalia hiyo
 
Shida yetu watz tunashindwa kutofautisha magufuli anaenda kila wilaya lakini lowassa walosombwa iringa njombe rukwa na wilaya zote za mbeya... acheni kujitekenya na kucheka wenyewe kama uhakika upo kwanini mna mashaka... oct 25 ndo kila kitu... tuache kuigiza

Ni kweli mdau ,hata hapa Mwanza walisombwa watu kutoka Wilaya zote mpaka Wa Mkoa ya jirani pia waliletwa
 
Shida yetu watz tunashindwa kutofautisha magufuli anaenda kila wilaya lakini lowassa walosombwa iringa njombe rukwa na wilaya zote za mbeya... acheni kujitekenya na kucheka wenyewe kama uhakika upo kwanini mna mashaka... oct 25 ndo kila kitu... tuache kuigiza

Kura yako ni Moja tuu. Haiamui nani awe Raisi. Iwepo au Hata Isipokuwapo Mshindi Atatangazwa.
 
Tuwe wa kweli ni wawazi. Kwenye suala la watu UKAWA wako juu sana na kwa sababu moja kuu, vibaka, malofa, wapumbavu na mafukara wapo wengi sana mitaani na hao ndio wanaounga mkono UKAWA na ndio wapiga kura wa mwaka huu.

Ni utamaduni wa kawaida sana kwa CCM kuwabeba watu kuwaleta mkutanoni, kwa mfano siku ya jana wakati Magufuli anawasili Mbeya msafara wake muda wote ulipokuwa ukipita barabarani ulikumbana na watu wa CHADEMA wakionyesha vidole viwili hewani, lakini alipofika uwanja wa mkutano alikuta wanaCCM ndio wamejaa uwanjani. Sasa jiulize waliokuwa barabarani walitokea wapi na waliofika uwanjani walitokea wapi?

Huo ndo ukweli wenyewe mie sina cha kuongeza.UKAWA nguvu ya umma.
 
Ukawa sera yenu kuaminisha watanzania tuna jitambua na wala hatudanganyiki watu gani kila siku mnabadilika pamoja na haya mnaotuaminisha leo.mtaisoma namba sera/ilani makini na aliyekabidhiwa mnajua wenyewe!!!
 
picha Za Mikutano Ya Wilaya Zinapolinganishwa na Picha Za Mkoa Mzima ni Ujinga, Upumbuvu na Olofa.. Acha tuitwe Malofa Maana tunajitakia Wenyewe na Hakuna namna tena
 
zinakaribia kulingana, ila tofauti ninayoona mimi ni hii, ukawa kama kuna watoto wengi ambao kwenye kura hawapigi, ccm watu wazima wengi na ni ambao wapiga kura
 
Back
Top Bottom