Linganisha picha ya UKAWA na CCM Mbeya jijini

Linganisha picha ya UKAWA na CCM Mbeya jijini

Watu wajinga sana, wametoka kwenye topix wanalinganisha nyomi kama ndo hoja!! UJINGA MZIGO!
 
Alafu hao wa CCM wamezolewa na Malori, na wa UKAWA wameenda wanyewe.

ImageUploadedByJamiiForums1440834006.175446.jpg ImageUploadedByJamiiForums1440834020.025242.jpg

Haya Maccm yanasombwa tu kama MANYUMBU Mkuu
 
Ukawa mziki mène hapo hakuna hâta WA sanii watu wamekuja waotu
 
nilisikia mh amepata shida ya kiafya jana akiwa jukwaani sijui amepona? anayejua atujuze. Mungu amfanye apone haraka aendelee na kampeni zake.
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya wanachama na mashabiki,hata simba na yanga wana mashabiki wengi sana kuliko wanachama,leo ukisikia simba au yanga wana mkutano mkuu kwa maana ya wanaotakiwa kuingia ni wanachama tu,utashangaa utakuta kuna wanachama wengi sana 700,ndo wanaoamuzi makubwa ya club.lakini ukienda stadium utakuta kuna washabiki zaidi ya 20,000 kwa kila timu,jibu unalo
 
Walio enda wenyewe asilimia 95 watapiga kura Ukawa. Walio bebwa kwa malori na ubwabwa juu asilima 50 wataipigia Ukawa.
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya wanachama na mashabiki,hata simba na yanga wana mashabiki wengi sana kuliko wanachama,leo ukisikia simba au yanga wana mkutano mkuu kwa maana ya wanaotakiwa kuingia ni wanachama tu,utashangaa utakuta kuna wanachama wengi sana 700,ndo wanaoamuzi makubwa ya club.lakini ukienda stadium utakuta kuna washabiki zaidi ya 20,000 kwa kila timu,jibu unalo[Usichanganye mpira na uchaguzi kwa sababu watu wengi wenye kadi za kupigia kura ndio wanaohudhuria mikutano+wanachama kwa hiyo suala la kupima ushindi kwa nyomi linaweza kuwa na majibu sahihi.Kama mtu alitoka umbali mrefu kwenda jangwani kupiga kelele kwa nauli yake huyo mtu atakuwa mjinga kiasi gani ashindwe kufika kituo cha kupigia kura jirani na kwake?Acheni dhana za kujipa moyo na kubishana na wakati kwa sababu wakati huwa unajiendesha na hauendeshwi na mpiga kura wala kiongozi kwa hiyo hata watakaopiga kura watashangaa baada ya matokeo kuwa tofauti kwa sababu wamefumbwa na wakati wa mabadiliko.
 
Back
Top Bottom