Line za Zantel za kupigiana bure

Line za Zantel za kupigiana bure

TBT

Member
Joined
Aug 21, 2013
Posts
7
Reaction score
0
Kama mpo kwenye vikundi, maofisi, vikoba, mashirika makubwa huduma hii inawafaa kwa maana ni huduma inayoitwa CUG ni maalumu kwa watu waliokuwa katika magroup inayowawezesha kuongea bure nyie mliopo kwenye group mwezi mzima, masharti ni kuweka vocha ya sh 6000 tu itakayokuwezesha kuongea bure mwezi mzima na wenzio mliokua kwenye group, maelezo kamili tuwasiliane 0776868661.
 
Kwani hata line ya kawaida ukipiga *149*15# ukafuata maelezo ya bundles zao, kwa pesa hiyo si unapiga mwezi mzima?
Au hapo ipoje
 
Back
Top Bottom