Line za Tigopesa, M-pesa na Airtel zinauzwa

Line za Tigopesa, M-pesa na Airtel zinauzwa

Line za mitandao tajwa hapo juu haziuzwi... tembelea mawakala wakuu watakupa maelekezo mazuri...
Hakuna watu wapuuzi kama wa hiyo mitandao tajwa,ukienda kuomba line uwakala na ukapeleka vielelezo vyote wanatoa line nyingi kwa jina lako na kuanza kuziuza kwa wengine.

Juzi nimeenda mwanza,nikaenda sehem kutoa hela nikashangaa jina langu ndio linalotumika.akaniambia aliuziwa na mtu.
 
Hakuna watu wapuuzi kama wa hiyo mitandao tajwa,ukienda kuomba line uwakala na ukapeleka vielelezo vyote wanatoa line nyingi kwa jina lako na kuanza kuziuza kwa wengine.

Juzi nimeenda mwanza,nikaenda sehem kutoa hela nikashangaa jina langu ndio linalotumika.akaniambia aliuziwa na mtu.[/QUOTE

Mkuu umekua wakala bila kujijua
 
Hivi kwa nini mchezo wa kuuza line za mpesa,tigopesa na airtel money umekuja kwa kasi hivi! Nini chanzo cha hizi biashara kuwa kuuzwa hivi???
 
Back
Top Bottom