Line za Tigo pesa

Line za Tigo pesa

kawakama

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,299
Reaction score
391
nawasalimu ndugu wanajamvi

kwa wale wajasiliamali wenzangu wanaotaka kujikwamua kimaisha kwa kufanya biashara ndogondogo kama uwakala wa tigopesa nawafahamisha kuwa ninazo line za tigo pesa nauza kwa TSHS.800,000/=[laki nane] kwa moja, bei inazungumzika na nimebakiwa na line mbili tu.

serious buyers karibuni
ni pm tuzungumze biashara
NB:Nipo dar es salaam
 
Bei ya mwisho kiasi gani me nina 550,000 mkuu?


Sent from my iPhone 5c using JamiiForums
 
bei hizo ni za miaka hiyo!!!biashara yenyewe ya sasa yataka moyo ndio maana kila leo watu wanakimbia huko.
 
Mim nawashanga hawa tigo je ni kweli wameshndwa kabisa kuzibit line zao kunzwa bei ya juu kiasi hcho et line tu 800,000
 
Mim nawashanga hawa tigo je ni kweli wameshndwa kabisa kuzibit line zao kunzwa bei ya juu kiasi hcho et line tu 800,000

Si ndip deal yao ma boss watigo! Wamenijazisha form tangia mwezi wa 4 mwaka jana kila siku kesho kesho! Nasikia wananyang'anya wasiozifanyia kazi wale wateja wa zamani na pia kuna mpya wanazitoa kinyemela them wanauza bei ya kulangua! We waache watu washaana kuamia airtel kwakuwa awakatwi, soon zitawadodea...!


Sent from my iPhone 5c using JamiiForums
 
Back
Top Bottom