Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,089
- 4,734
Nna wasi wasi ulikua hujazaliwa badoHuyo mwanamke kwenye hizo picha ameshika simu au??
Samahani kwa usumbufu lakini.
Ndio hiyo ni simu
Pia kulikua na Sony Ericsson kidole juu lilikua bonge la simu kama yale wanayotumia Traffic ( radio call )
Hapo vocha zilikua zinauzwa kuanzia Dola 5 na kuendelea, zilikua zinauzwa kwenye ofice za Voda tu
Tulipata tabu sana
Nashangaa sa hv watu wanalalamika bando za Voda bei juu wakati zamani ilikua 1MB Sh.250/= kama sikosei hiyo ilikua baada ya tiGO na Voda kuzindua 3G
Nilisumbua sana na NOKIA 6600 na NOKIA N70
NOKIA waliuza sana simu kipindi hicho