Line yangu ya kwanza 'vodago' kijani na bluu

Line yangu ya kwanza 'vodago' kijani na bluu

Avatar

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
11,127
Reaction score
11,938
Najua wapo ambao huu mwonekano wa hiki kijitabu cha maelekezo ununuapo line ya simu, hawjawahi kukiona japo hata kwa bahati mbaya.

Kwa wale wazee wenzangu embu tukumbushane, unakumbuka nini/wapi ukionapo hiki kijitabu ama jina, rangi na logo..

Twendee....
IMG-20190810-WA0023.jpeg
IMG-20190810-WA0025.jpeg
IMG-20190810-WA0024.jpeg
 
0748321567
Kabla namba za kiunganishi hazijabadilishwa kila mtandao kuwa na namba yake (voda kuwa 075)
 
Back
Top Bottom