Line ya wakala ya Tigopesa inahitajika

Line ya wakala ya Tigopesa inahitajika

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Jamami samahanini kama mada si husika katika jukwaa hili kama kuna mtu anayo au anajua upatikanaji wa namba ya wakala wa tigo pesa , m pesa na air tel money aniambia nazihitaji kwa ajili ya kujiajiri
Unaweza kunitumia ujumbe au kunibeep 0777 433260
asanteni
 
Back
Top Bottom