My dear nadhani ham si kwa wajane pekee kila binadam alie mkamilifu ana ham!sema mambo mablimbali huwa yanapotezea ham mfano kazi nyingi,uchovu etc lakini ham iko pale pale,sijui hasa njia ya kutoa ham but nadhani kuwa busy sana hupunguza,kupunguza mawazo yaletayo ham mfano ulivyokuwa unafanya na mtu au kuwaza jinsi ya kufanya/kufanywa etc,lkn kama hutaki kabisa mshirikishe Mungu akuondolee mawazo hayo maana kam binadam ni ngum kwakweli,pole sana lkn pia si vibaya kupata mwenza mwengine ambae mtakubaliana(ikibidi lkn.)
visasi dhambi.join date wed feb 2010 posts 422 thanks 1 thanked 48 times
ningeweza kukujibu ila tatizo wewe hutoagi senksi.
Mbona haijaandikwa kwenye amri kumi za Mungu?
Hao ndio huwa wanacheza ule mchezo wa kujipunua kwa ncha za vidole vyao
its sound like u mjane so wataka kujua hw to over come naniniii...chagua mmoja mpe tenda ya kukuliwaza...
...bt at list miez sita n above if nt 1yr ipite ndo uanze kutumia nanii ya mwanume mwngne...only if KM ALIKUWA ANAKUHESHMU ILA KM ALIKUWA ANALALA NYUMBA NDOGO NA KWAKO ANAPANYA KM DRESSNG ROOM ahh ukisharud kumzika inapota mwez then km kawa since HAKUKUPENDA WAKAT YUpo hai ..so haina haja ya kumuheshimu bt km alikuwa mume bora dah pole inabd umuheshimu na ata kumpa nanii mwanaume mwngne unajihisi km unamsalit mumeo vile.........pole
kat ya ao wanaokutongoza, chagua mmmoja mmfanyie vettng ya kutosha,msome na umstad km yaliyomo yamo mpeleke angaza then mpe KITENGO AKISIMAMIE..
..akuna njia nyingne wajane wanafanya zaid ya hii..bt chagua mmoja usichangane na ufanyie mbaaaaaali watotto +ndg wasikuone...
..TUNZA HESHIMA N AFTA 5YRS WAWEZA KUDECLARE ATA KUOLEWA NA MWANAUME YEYOTE YULE NA WATAKUELEWA.
kitabu gan watumia nyau?
Asante kwa jibu, japo halitanisaidia, kwakua hujanielewa vizuri, nimeuliza wajane mimi sio nilipenda tu kujua.
mi nipo spesho kwa ajili ya wajane ndo maana nimetangaza nia hakuna wapiga kula
Jee ulipofiwa mumeo hakua na ndugu wa kiume aliyekabidhiwa familia yako kuiangalia?kama yupo akikuambia shemeji hapo vipi utampa?ukumbuke ana saidia kutoa ada za watoto shule etc