LD
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 3,014
- 578
Siri ya Maisha ya mtu hasa ktk masuala ya mapenzi yapo katka moyo wake mwenyewe, Ni vile mtu anaamua mwenyewe kuishu tu, Mjane ni mtu mwenye akili na maamuzi yake pia. So kuwa na jibu la moja kwa moja kama wanafanya nini naona halipo. Ila naamini kila mtu akiwemo huyo mjane anayo njia ya kukabidhiana na tamaa za mwili wake, au kukidhi tamaa za mwili wake. Kufanya mapenzi na mtu aliyeamua yy iwe kwa siri au uwazi, au kuikana nafsi na kuushinda mwili.
Mjane ana akili yenye utashi pia, sio mnyama useme utamfuga. Happy new yr all.
Mjane ana akili yenye utashi pia, sio mnyama useme utamfuga. Happy new yr all.