Lina maana gani hili neno, sio tusi?

princemikazo

JF-Expert Member
Jan 10, 2019
2,214
2,000
Kuna hili neno "F**k" limekua likinitatiza matumizi yake moja kwa moja.

Navojua maana yake ni kama tusi mfano mtu akisema'F**k you'obvious kakutukana, lakini pia nilikua naangalia tamasha fulani la Tyga aliwaambia mashabiki zake 'I'm real F**kin love you my fans' na mashabiki wakapiga shangwe kabisa!

Hapo ndo ninapo shindwa elewa ni tusi au? Pia kuna jamaa aliwahi sema kwenye movie 'This is my fcukin gun', Plz mwenye kujua maana ya hili neno na wakati sahihi wa kulitumia katika sentensi anisaidie......

Asanteni
 
sagaciR

JF-Expert Member
Jun 17, 2017
647
1,000
Kuna hili neno "F**k"Limekua likinitatiza matumizi yake moja kwa moja,,Navojua maana yake ni Kama tusi mfano mtu akisema'F**k you'obvious kakutukana,lakini pia Nilikua nacheki show flani ya Tyga aliwaambia mashabiki zake'I'm real F**kin love you my fans'na mashabiki wakapiga shangwe kabisa!apo ndo nnapo shindwa elewa ni tusi au?pia kuna jamaa aliwahi sema kwenye movie'This is my fcukin gun',,Plz mwenye kujua maana ya hili neno na wakati sahihi wa kulitumia katika sentensi........Asanteni
Hapana sio tusi, mfano nikisema "F**k" princemikazo. Hakuna tusi hapo. Maana yake ni FULL STAR KINDRED.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mr. Hussein Juma

Verified Member
Mar 5, 2012
730
1,000
Kuna hili neno "F**k" limekua likinitatiza matumizi yake moja kwa moja.

Navojua maana yake ni kama tusi mfano mtu akisema'F**k you'obvious kakutukana, lakini pia nilikua naangalia tamasha fulani la Tyga aliwaambia mashabiki zake 'I'm real F**kin love you my fans' na mashabiki wakapiga shangwe kabisa!

Hapo ndo ninapo shindwa elewa ni tusi au? Pia kuna jamaa aliwahi sema kwenye movie 'This is my fcukin gun', Plz mwenye kujua maana ya hili neno na wakati sahihi wa kulitumia katika sentensi anisaidie......

Asanteni
‘****' hutumika kama kielelezo cha mshangao ama hasira, kwa Marekani. Lakini kwa Uingereza, neno hili ni tusi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom