Lekule86 Member Sep 23, 2016 17 2 Nov 6, 2017 #1 Ukipona usishangalie wenzio wakati linawakuta kwani kwako sekunde zinahesabika
kizaizai JF-Expert Member Mar 31, 2010 5,340 6,494 Nov 6, 2017 #2 Kuna mwana JF atuanzishie uzi maalumu wa hizi taarifa za teuzi na tumbuatumbua toka Ikulu.