nimekuelewa mkuu, huyu jamaa ni kichaa tu, na anaweza tibika??Mwendawazimu ni alieshindikana mirembe ....yuko huru..!
CHADEMA kimejikuta katika kipindi kigumu, huku wasijue kwa kujishikia kabla la anguko kubwa la kisiasa kutokea. Chama kimekumbwa na masahibu makubwa hadi wanazidi kutapatapa kula kukichwa; hali mbaya ya kisiasa iliyopo CHADEMA imechangiwa na kukosekana kwa chombo cha sera ndani ya chama huku maamuzi ya chama yakitegemea utashi wa Mbowe. Hali iliyoko chamani, CHADEMA ni kusikiliza tamko la Mwenyekiti na kulitekeleza pasipo kutafakari kupitia vikao vya kikatiba.
CHADEMA wakati huu wakitambua nchi ipo katika kipindi cha mchakato wa KATIBA, wametishia kujitoa katika mchakato huu; wamesahau wao walipewa fursa ya kutoa mwakilishi pia wakapewa ratiba nzima ya mchakato wakakubali. Sasa ni ajabu wamegeuka na kutishia kujitoa kana kwamba wao ni wadau BORA kwenye mchakato husika.
Nawashangaa hiki chama ni kigeugeu; ushauri wa bure kwa CHADEMA; MTUMIE NGUVU KUBWA NA RASLIMALI ZILIZOPO KUJIIMARISHA VIJIJINI ILI MWAKANI MSHIRIKI VIZURI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KAMA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU 2015. Vinginevyo chama hakitaweza kuchukua serikali pasipo jitihada za kujiuza kwa wapiga kura!
Bungeni wabunge wa CHADEMA wamekuwa mstari wa mbele kuomba miongozo badala ya kujadili vipaumbele vya wapiga kura; Muda haupo upande wenu, jipangane kwa uchaguzi wa 2014 na 2015

Akili ndogo huishia kujadili watuMwendawazimu ni alieshindikana mirembe ....yuko huru..!
Chadema chama cha kigaidi na genge la wahuni wenye masilahi yao,wadini sana hasa dr slaa na wafitini na wauaji,laiti Zitto angekuwa hatoki Kigoma wangeshamuua maana wanajuta mwanzo walivyomwingiza hawakujua kama anepe ndwa na watanzania wengi kuliko wao wakina mbowe!!!Babu yeye ni uzinzi na mzushi wake aliyemkimbia mume wake kwa tamaa zake,babu tabia ya uzinzi utahacha lini?umetelelekeza wanao uliozaa ukiwa bado padri.Mama Rose hana hamu na wewe ulivyomfanyia,umemgigida ukiwa padri na kumzalisha na akakutunzia siri,leo umemkimbia,shame on you.
kwa nini ndani ya chadema watu hawasikilizwi bali wanaosikilizwa pekee ni mbowe na slaa wegine hawana weled au ni nini.
Upelelezi wa kesi ya lwakatare umekamilika
Unawivu mbaya we kijana sasa hata mali za mamako unataka??Mamakokawa big g unalalama!nenda wewe upate mtoto mwenye nguvu kama CDM usiogope kwa babu japo itakuwa inauma lakini dawa!:smile-big:Chadema chama cha kigaidi na genge la wahuni wenye masilahi yao,wadini sana hasa dr slaa na wafitini na wauaji,laiti Zitto angekuwa hatoki Kigoma wangeshamuua maana wanajuta mwanzo walivyomwingiza hawakujua kama anepe ndwa na watanzania wengi kuliko wao wakina mbowe!!!Babu yeye ni uzinzi na mzushi wake aliyemkimbia mume wake kwa tamaa zake,babu tabia ya uzinzi utahacha lini?umetelelekeza wanao uliozaa ukiwa bado padri.Mama Rose hana hamu na wewe ulivyomfanyia,umemgigida ukiwa padri na kumzalisha na akakutunzia siri,leo umemkimbia,shame on you.
Zitto unaye msema ni gamba mwenzenu ndio maana mnampenda. Kiongozi yoyote wa cdm hawezi kupendwa na magamba hata siku moja. Mta ng'ang'ana sana lkn muda wa kuondoka umefika.