Limevunda CHADEMA

Limevunda CHADEMA

CHADEMA kimejikuta katika kipindi kigumu, huku wasijue kwa kujishikia kabla la anguko kubwa la kisiasa kutokea. Chama kimekumbwa na masahibu makubwa hadi wanazidi kutapatapa kula kukichwa; hali mbaya ya kisiasa iliyopo CHADEMA imechangiwa na kukosekana kwa chombo cha sera ndani ya chama huku maamuzi ya chama yakitegemea utashi wa Mbowe. Hali iliyoko chamani, CHADEMA ni kusikiliza tamko la Mwenyekiti na kulitekeleza pasipo kutafakari kupitia vikao vya kikatiba.

CHADEMA wakati huu wakitambua nchi ipo katika kipindi cha mchakato wa KATIBA, wametishia kujitoa katika mchakato huu; wamesahau wao walipewa fursa ya kutoa mwakilishi pia wakapewa ratiba nzima ya mchakato wakakubali. Sasa ni ajabu wamegeuka na kutishia kujitoa kana kwamba wao ni wadau BORA kwenye mchakato husika.

Nawashangaa hiki chama ni kigeugeu; ushauri wa bure kwa CHADEMA; MTUMIE NGUVU KUBWA NA RASLIMALI ZILIZOPO KUJIIMARISHA VIJIJINI ILI MWAKANI MSHIRIKI VIZURI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KAMA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU 2015. Vinginevyo chama hakitaweza kuchukua serikali pasipo jitihada za kujiuza kwa wapiga kura!

Bungeni wabunge wa CHADEMA wamekuwa mstari wa mbele kuomba miongozo badala ya kujadili vipaumbele vya wapiga kura; Muda haupo upande wenu, jipangane kwa uchaguzi wa 2014 na 2015

MAFILILI noticed, come closer to pick your 7,000/= as our contract states, well done SLAVE. Sasa hapo ukinunua tena bundle la 4,500/=, yule binti uliemteka unaenda mpelekea nini??
kwa maana hapa lazma utuletee stori za urojo rojo wa kunuka....

By the way, work hard, viti maalaum kwa walemavu vinakuja kwenye new katiba, huenda ukasafiria nyota ukapata, kwamaana wewe ni mlemavu wa ubongo
 
CHADEMA kimejikuta katika kipindi kigumu, huku wasijue kwa kujishikia kabla la anguko kubwa la kisiasa kutokea. Chama kimekumbwa na masahibu makubwa hadi wanazidi kutapatapa kula kukichwa; hali mbaya ya kisiasa iliyopo CHADEMA imechangiwa na kukosekana kwa chombo cha sera ndani ya chama huku maamuzi ya chama yakitegemea utashi wa Mbowe. Hali iliyoko chamani, CHADEMA ni kusikiliza tamko la Mwenyekiti na kulitekeleza pasipo kutafakari kupitia vikao vya kikatiba.

CHADEMA wakati huu wakitambua nchi ipo katika kipindi cha mchakato wa KATIBA, wametishia kujitoa katika mchakato huu; wamesahau wao walipewa fursa ya kutoa mwakilishi pia wakapewa ratiba nzima ya mchakato wakakubali. Sasa ni ajabu wamegeuka na kutishia kujitoa kana kwamba wao ni wadau BORA kwenye mchakato husika.

Nawashangaa hiki chama ni kigeugeu; ushauri wa bure kwa CHADEMA; MTUMIE NGUVU KUBWA NA RASLIMALI ZILIZOPO KUJIIMARISHA VIJIJINI ILI MWAKANI MSHIRIKI VIZURI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KAMA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU 2015. Vinginevyo chama hakitaweza kuchukua serikali pasipo jitihada za kujiuza kwa wapiga kura!

Bungeni wabunge wa CHADEMA wamekuwa mstari wa mbele kuomba miongozo badala ya kujadili vipaumbele vya wapiga kura; Muda haupo upande wenu, jipangane kwa uchaguzi wa 2014 na 2015

Vua gamba vaa joka lenye ndimi mbili.
 
Back
Top Bottom