ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
HABARI
Lile shindano la kumtafuta mwimbaji bora, mtunzi na wimbo bora
wa chitchat hapa ambalo lilikwenda takribani kwa juma la wiki 3.5
Natangaza rasmi leo kuwa limefungwa kutokana na sababu za kiufundi na
za msingi sana zilizo nje ya uwezo wetu kwani tulitegemea tulifanye
pale LEO TUPO HAPA PUB na tutafute mshindi atakayepokea award hiyo
Hivyo wasomaji na wachangiaji wetu na wale ambao waliwekwa kwenye
kinyang'anyiro hicho cha kumsaka mshindi bora wasijisikie vibaya sana
tutalipeleka miezi ya mbele yaani August - October 2013 kwa kile
tunachosema kuwa tumekosa barunzi machine, ile ya kuingizia instruments za
music ili waimbaji waimbe kuipitia hizo beat. Hivyo lile shindano halitafanyika
tarehe 06/07/2013 bali tutafanya kuanzia mwezi wa nane na kuendelea
pindi tukipata mashine hiyo.
Samahani sana kwa usumbufu uliojitokeza waungwana wangu, na wapenzi wangu
Mara upatapo taarifa hii mwambie na rafikiyo wa cc mwenzako.
Aksante kwa kunielewa.
NAWAKILISHA
rgds
View attachment 100931
MRATIBU WA SHINDANO
LF.
CC: Arushaone, Mentor, Nicas Mtei, Mtambuzi, Paloma, Filipo, Mamndenyi, cacico, Kipaji Halisi, Bujibuji, Bishanga, The secretary, amu, Asprin, Slave, stevoh, figganigga, Lady doctor, Passion Lady, charminglady, gfsonwin, sweetlady, FirstLady, watu8, Jiwe Linaloishi, Mwita Maranya, Erickb52, Mr. rocky, snowhite, jouneGwalu na marafiki wengineo.