Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,144
- 166,082
Intresting! sasa hiyo nyama inawekwa ikiwa mbichi au imeshapikwa...ili nami nijaribu pia huenda hubby akatulia!lol
nyama hiyo mbichi huwekwa ukeni,
je kama mimi nataka kumuwekea mke wangu nyama hiyo naiweka wapi??
kiukweli wanaume wengi hawaelewi nini kinachomfanya msichana atafute mtu mwengine wa kumkidhi haja zake pale anapohisi mume hamkidhi kimapenzi wavulana wengi wamekuwa na mawazo yakuwa kufanya mapenzi mara kwa mara kama vile wanvofanya majogo kila dakika ndio amekuwa bingwa ukweli kuna mengi katika kufanya mapenzi na kufikia msichama aridhike kuwa na kichwa kikubwa haina maana unaakili nyingi
Mkuu mimi naomba unimegee kidogo ya hayo mengi ya kumfanya aridhike mbali na kufanya mapenzi mara kwa mara ambayo ndo STRENGTH yangu kuu. Nitoe ushamba!
Mkuu naitaka hiyo....mpaka udenda umenitoka.......Nilisikia zamani vijiweni, limbwata ni nyama iwekwayo ukeni (kwenye K) kama siku nzima!! Halafu inatolewa ikiwa almost fermented na inapikwa na kupewa muhusika. Ukiisha ila tu, husikii huambiwi, mkeo anaweza amua kucheat mzee wala huoni, hata mkeo akileta njemba nyumbani huelewi unakuwa umepumbazwa fulani. Mzee wa kushinda ndani na msuri........binafsi siamini mambo haya....ila kwa kuwa yanasemwa huenda yapo....
Mkuu naitaka hiyo....mpaka udenda umenitoka.......
Nilisikia zamani vijiweni, limbwata ni nyama iwekwayo ukeni (kwenye K) kama siku nzima!! Halafu inatolewa ikiwa almost fermented na inapikwa na kupewa muhusika. Ukiisha ila tu, husikii huambiwi, mkeo anaweza amua kucheat mzee wala huoni, hata mkeo akileta njemba nyumbani huelewi unakuwa umepumbazwa fulani. Mzee wa kushinda ndani na msuri........binafsi siamini mambo haya....ila kwa kuwa yanasemwa huenda yapo....
Nilisikia zamani vijiweni, limbwata ni nyama iwekwayo ukeni (kwenye K) kama siku nzima!! Halafu inatolewa ikiwa almost fermented na inapikwa na kupewa muhusika. Ukiisha ila tu, husikii huambiwi, mkeo anaweza amua kucheat mzee wala huoni, hata mkeo akileta njemba nyumbani huelewi unakuwa umepumbazwa fulani. Mzee wa kushinda ndani na msuri........binafsi siamini mambo haya....ila kwa kuwa yanasemwa huenda yapo....
...heri mie Vegetarian! ...watanipatia wapi? unless bilinganya na bamia nazo 'zinalimbwatisha!'
...napenda sana pilipili, tena hiyo inayoitwa 'mbuzi',...akiweza iweka huko, ni radhi kuila, maana atakuwa kweli kanidhamiria 😀Ndo manake, hapo ni kitu chochote wangu...lol!
...napenda sana pilipili, tena hiyo inayoitwa 'mbuzi',...akiweza iweka huko, ni radhi kuila, maana atakuwa kweli kanidhamiria 😀
Aksante sana kwa information, acha tujaribu mwaya...
Je, kuna tofauti ya yule aliyelishwa nyama iliyowekwa kwenye nanino na yule ambaye analick nanino kwa mapenzi yake mwenyewe ili kumfurahisha mamsap wake au yeye mwenyewe kupata maspeed?