yani nimecheka mana kama
nakuona na iyo keleuwiii uliyoipiga hapo kwani unatumia nn mpz
ukashindwa kuitizama .....napenda kukusoma sana u always makes ma day
better:smile::smile::smile:
Jukwaa lina wenyewe wajamen!
Nimepita tu! Lakini hakika mambo ni mengi hapa Chit-Chat!
ha haaaaaaaaaaaa, hii ndo dawa.....maana wengine huwa tunajifanya hatujasikia tunajikausha tunachapa lapa......next time ntafanya hivi, lol!
ha haaaaaaaaaaaa, hii ndo dawa.....maana wengine huwa tunajifanya hatujasikia tunajikausha tunachapa lapa......next time ntafanya hivi, lol!
ha haaaaaaaa, babu unafikiri ukizeeka ndo unakuwa kama kondoo?
ha haaaaaaaa, babu unafikiri ukizeeka ndo unakuwa kama kondoo?
hapo sidhani kama kuna bangi wala nini..........
wewe subiri tu nimepata hilo desa, mtu akijidai na ksi ksi zake tu nimemuwashia moto, lol!
Whats happening huku jamani mbona niko njia panda, kitalolo hebu njoo pande hii uniambie hiyo video umeitoa maktaba lini na kwa ruhusa ya nani? ha ha ha ha Btw si umeona jamaa alivyo nyuea utafikiri paka aliyemwagiwa maji chezea mimi wewe.