Lilifanyika kosa Kiswahili kuwa lugha ya Taifa?

SUNGURA-MJANJA

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
200
33
Nikiangalia taasisi zote za Serikali na zile za binafsi wamekuwa wakitumia lugha ya kingereza kama ndiyo lugha ya taifa. ndiyo maana sikipendi kiswahili ingawa ni lugha ninayotumia. kwa sababu hata Serikali yenyewe imekipuuza kiswahili..

Nawasilisha.
 
Usiwe mtu wa kuangalia wengine wanafanya nini ndio nawe ufanye kipende kiswahili kama lugha yako ya Taifa mkataa kwao mtumwa ,achana na serikali imeparaganyika haijui isemalo ipingalo wala ifanyayo
 
Nyerere alibugi. Sasaivi tungekuwa mtaani tunatema yai kama Obama.
 
Kwani waliojua kiingereza na wewe uliyejua kiswahili mmepungukiwa nini mbona Angola na Msumbiji wanajua kireno tu tena kule kilakitu ni Kireno tu kiingereza ni kichache sana na serikali wana tumia Kireno ila life goes on.
 
Back
Top Bottom