Lilian Wasira kuzindua albam ya nyimbo za CHADEMA Landmark hotel

obama sererea

Senior Member
Mar 13, 2012
101
37
Mwanaharakati na mtoto wa waziri Wasira,Lilian Wasira ambae sasa ni kamanda wa chama cha CHADEMA ter 09/12/2013 pole Landmark hotel atazindua albam yake ya nyimbo za harakati za ukombozi(CHADEMA).

Albam hiyo yenye nyimbo sita inayokwenda kwa jina la KWAHERI CCM na kusheheni nyimbo kali ambazo zitachochea kuleta hamasa za ukombozi wa taifa hili.

karibu watanzania muda saa tano asubuhi, kiingilio ni bure.
 
Hobgera sana Lilian. Ni mkakati mzuri ktk harakati za kulikomboa taifa dhidi ya mafisadi na wauza unga Niko mbali na bilashaka tutakutana nazo mitaani.
 
Muulize huyo Lilian yeye ni Chadema Chumbani au Chadema sebuleni?
Anatumiwa kama Yale madude yanayosambazwa na TACAIDS.
 
Muulize huyo Lilian yeye ni Chadema Chumbani au Chadema sebuleni?
Anatumiwa kama Yale madude yanayosambazwa na TACAIDS.
Ndiyo maana unaitwa chuki. Mtu ukishakuwa na jina lenye laana ni lazima uwe na kauli zenye laana na maisha yako yatakuwa ni yenye laana tu, hakuna namna nyingine.
 
Hawa watoto ni wajinga sana, wanatumia jina la wasira kujitafutia umaarufu wa kisiasa
 
Back
Top Bottom