Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,840
- 4,812
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Kweli wakati ukuta, Lilian kiuno hakizunguki kama zile zama.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mwenzangu! Yani haeleweki...lilian bora angeendelea tu na kucheza show ni nini hiki
Ongeza mkuu [emoji39]Hii cheni kama unaielewa lazima utulie kwanza natamani kuwaongeza wapya ambao wameingia kwenye mpambano.
HahahhhhOngeza mkuu [emoji39]
Yaan niliendaga kwenye show yake ya kumuaga kuhusu kucheza show nikajua labda atafanya kitu kingine tofaut kumbe kaja kwenye kuimba nyimbo zenyewe hazieleweki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mwenzangu! Yani haeleweki...
kweli dada yangu, wakati ni ukuta, kiuno kimekuwa kigumu na kizito vileKweli wakati ukuta, Lilian kiuno hakizunguki kama zile zama.
Hata risasi kidole ya mashujaa kaitendea haki kweli, nashangaa hapa kacheza kama anaruka kamba!Ntamkumbuka sana nkichek ile staili ya twanga pepeta ya 'sugua kisigino'
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kaaa nimekumbuka mbaaali sanaHata risasi kidole ya mashujaa kaitendea haki kweli, nashangaa hapa kacheza kama anaruka kamba!
watu walishazikaza boltiiiiKweli wakati ukuta, Lilian kiuno hakizunguki kama zile zama.
ndo hivyooo mkuu usishangae[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mhhh mkuu.
Za yale majani yanayotambaaa eeeh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kaaa nimekumbuka mbaaali sana
Mi sijawaza hizi kamba za mazoezi, nimewaza zileeeee za enzi zileeeeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji6]
Duhh, ilikuwa patashika nguo kuchanika. Huyu dada akiwa na Aisha Madinda ilikuwa balaaLilian internet, diana astonivilla, banza, alichoki, steve nyerere, mr. Nice heee hili kundi lilitamba sana magazetini hasa yale ya udaku miaka ile Baba Diana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sie tulitumia ya kamba za migomba au majani ya viaziiiiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Za yale majani yanayotambaaa eeeh
Za yale majani yanayotambaaa eeeh