Mkuu iyo ishu serikali wanaijua vizuri ndo maana hamna kitakachofanyikaTulishuhudia Dr. Padre Kitima akipigwa na watu wasiojulikana. Shauri hili lilipelekwa mbele ya sheria. Ninauliza , shauri hili limeishia wapi?. Mbona hatusikii maendeleo yake?.
FULL STOP: Aliyewatuma hawezi kuhojiwaTulishuhudia Dr. Padre Kitima akipigwa na watu wasiojulikana. Shauri hili lilipelekwa mbele ya sheria. Ninauliza , shauri hili limeishia wapi?. Mbona hatusikii maendeleo yake?.
Nchi ya miujizaUnataka usikie ili iweje? Silence is power. Kimya ni silaha na ngao yetu. Waraka uliondikwa unaishi na kufanya kazi kimya kimya na hakuna atakayeuzuia na hakuna uchaguzi utakaofanyika October 2025.
Padre inawezekana hakupigwa,Bali ni miujiza ilimpataTulishuhudia Dr. Padre Kitima akipigwa na watu wasiojulikana. Shauri hili lilipelekwa mbele ya sheria. Ninauliza , shauri hili limeishia wapi?. Mbona hatusikii maendeleo yake?.