Lil Ommy na The playlist.

Lil Ommy na The playlist.

Chabrosy

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
2,636
Reaction score
3,167
Wakuuu kwema..!!!Kuna huyu Presenter anaitwa lil ommy ana kipindo chake kinaitwa The play list kuna ile sound track ya mziki uwa unalia kwa mbali lile beat la ule mziki ile ni ngoma gani msaada mnijuze tafadhari....
 
Alitengenezewa studio special kwa kipindi chake
 
Back
Top Bottom