Lil Kim na Juma Nature Palikuwa Hapatoshi

Hii habari ya kutotoa jasho hata kama ni "kama zamani" nina mashaka inaweza kuleta medical side effects, kwapa linatoa jasho kwa sababu maalum za kibaiolojia sasa ukiondoa/ kupunguza hii function ina maana unapunguza namna za kutoa uchafu mwilini.

uko right..................lkn zile laser huwa zinauwa glands za kutoa jasho kwa kiasi fulani....

sasa hapo ukubali kuwa bila ya nywele lkn uchafu kasi ubaki mwilini.......wenyewe wataalamu wanasema haina madhara ATI

ukisikia ukitaka uzuri sharti uzurike ndo hiyo kaka..........:D
 
is a has been aliyekuja kuvuna pesa ya wabongo ............angalau apate pesa ya kugharamikiwa vacation. kaimba nyimbo za 90's?! maana don' remember the last time she released a hit song, or a decent new song even!
Lil Kim sio mwenzio my friend net worth yake ni around US$ 18m hajachacha kama unavyofikiria
 
Lil Kim sio mwenzio my friend net worth yahe ni around US$ 18m hajachacha kama unavyofikiria

Watu wanavyozidi kuipata hela wengine ndio wanazidi kuwa wabahili na kutaka vyote vya bure wanavyoweza kuvipata.

Warren Buffet ni mmoja kati ya mabilionea watatu wakubwa kabisa lakini mbahili kichizi, anaondoka mpaka na sabuni za hotelini. Itakuwa huyo Lil Kim na "noveau riche".

But then again you may have a point, nouveau riche ndio hao wanaotaka kujionyesha na bling na migari ya thamani. But still all the money in the world cannot buy the star treatment she gets.

Akiwa NY ndiyo kwanza Wendy Williams ataanza kumsaga boob jobs zake pamoja na hiyo botched nose job, anaona afadhali akienda bongo anakuwa novelty.
 
Lil Kim is a has been...to stay relevant she had to fire shots at Nicki Minaj.....I love bitchie beefs and chick fights
 
friction ya kila siku ndio inasababisha kwapa iwe nyeusi...............sasa kama nywele zake zinaota upesi na analazimika kila siku kupitisha wembe, kunageuka weusi kidogo kidogo.....wengine pia wanageuka weusi kutokana na deodorants wanazotumia.

all in all unapofanya laser unakuwa umeachana na nywele za kwapa, na pia unakuwa hutoi majasho kwenye kwapa kama zamani, kwa hiyo hata hizo deodorants unaweza kupunguza kutumia, na kukuta kwapa nyeupee :)

Alicia Keys ananitoa ulimi nje haki ya nani mtoto kaumbika yule kwa mtazamo wangu,je kwapa la Alicia Keys mnalionaje wajameni?
 
Watu wanavyozidi kuipata hela wengine ndio wanazidi kuwa wabahili na kutaka vyote vya bure wanavyoweza kuvipata.

Warren Buffet ni mmoja kati ya mabilionea watatu wakubwa kabisa lakini mbahili kichizi, anaondoka mpaka na sabuni za hotelini. Itakuwa huyo Lil Kim na "noveau riche".

But then again you may have a point, nouveau riche ndio hao wanaotaka kujionyesha na bling na migari ya thamani. But still all the money in the world cannot buy the star treatment she gets.

Akiwa NY ndiyo kwanza Wendy Williams ataanza kumsaga boob jobs zake pamoja na hiyo botched nose job, anaona afadhali akienda bongo anakuwa novelty.

Wewe unaowaita wenzio nouveau riche wewe una nini kazi kushabikia mnatajiri kila mtu needs to be treated with respect whether hana kitu, he or she is avarage, richer or richest...
 
Wewe unaowaita wenzio nouveau riche wewe una nini kazi kushabikia mnatajiri kila mtu need to be treated with respect wether hana kitu, he or she avarage, richer or richest...

Mimi niliamua kuwa mtawa nipo K2 hapa kwa hiyo knowledge ndiyo utajiri kwangu.
 
Akiwa NY ndiyo kwanza Wendy Williams ataanza kumsaga boob jobs zake pamoja na hiyo botched nose job, anaona afadhali akienda bongo anakuwa novelty.

Wendy Williams should be the last person to talk about anybody's artificially enhanced bodyparts.

I can't stand that broad...well...some say she's a tranny. Who knows...it could be true...I just can't put anything past anybody in showbiz
 
Kwani Lil Kim Mchagga kweli!!!??? Mbona miguu mibaya hivyo?
 
Back
Top Bottom