Likud Nimeokoka

Likud Nimeokoka

Bwana Yesu apewe sifa. Leo jina la Yesu limenitendea jambo kubwa sana katika maisha yangu. Wakuu ilikuwa si mchezo.

Hapa naandika machozi yananitiririka,Ilikuwa sipo duniani jina la Yesu ndio limeniokoa yaani isingekuwa kulitaja jina Yesu sasa hivi ingekuwa bahari nyingine. Aisee ndugu zanguni Yesu yupo na anaweza. Yesu ndio jina lililo kuu kupita majina yote duniani

Kesho nikipata nafasi nitakuja kutoa ushuhuda wangu.

Thanks a lot Jesus.

Kuanzia Leo mimi na bahari za ushirikina na uchawi ndio nimezizika rasmi...
Hallelujah
 
Mkuu salama? Kitambo sana sijakusoma humu ndani, nakukumbuka kwenye jukwaa la imani enzi zile za mkuu Eshmael kwenye mijadala ya Kuwepo au kutokuwepo Mungu.

Eshmael nae ndio sijui kapotelea wapi hakika michango yenu ilikuwa ya kujenga haswaa!!

Nikutakie kila la kheri na Mungu azidi kukubariki.
Salama boss. Nipo mara moja moja. Mijadala ya hoja imepungua sana, na matusi wengine kwetu ni no go. Umewasahau October, XPaster,Max Shimba, Eyal na wengineo
 
"Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho." Waefeso 6:12

Mungu aliyekuwa na Daniel aambatane na wewe kwenye kila jaribu unalopitia LIKUD maana hapa umetangaza vita na shetani nasubiri ushuhuda konkiiii kutoka kwako.
Mtumishi naona umeshusha maneno mazito sana. Sema hilo "Konki "
 
YESU ANAWEZA YOTE
Bwana Yesu apewe sifa. Leo jina la Yesu limenitendea jambo kubwa sana katika maisha yangu. Wakuu ilikuwa si mchezo.

Hapa naandika machozi yananitiririka,Ilikuwa sipo duniani jina la Yesu ndio limeniokoa yaani isingekuwa kulitaja jina Yesu sasa hivi ingekuwa bahari nyingine. Aisee ndugu zanguni Yesu yupo na anaweza. Yesu ndio jina lililo kuu kupita majina yote duniani

Kesho nikipata nafasi nitakuja kutoa ushuhuda wangu.

Thanks a lot Jesus.

Kuanzia Leo mimi na bahari za ushirikina na uchawi ndio nimezizika rasmi...
 
Likud, kesho hatunayo ila jana tulikuwa nayo. Leo tunayo hivyo basi toa ushuhuda wako leo ili na sisi tufuate nyayo zako leo hii hii wala si kesho.
 
Tunalitukuza jina lake na kuzidi kuliamini na kusema yeye ni MUNGU hakika yeye ni muweza wa yote hakuna kama yeye YESU KRISTO BWANA WETU

Hallelujah utukufu ni kwake milele na milele hakuna kama yeye nasema Hakuna hakuna kama yeye

Tulikuwa hatuna thamani akatupa thamani kweli utukufu ni kwake
Bwana Yesu apewe sifa. Leo jina la Yesu limenitendea jambo kubwa sana katika maisha yangu. Wakuu ilikuwa si mchezo.

Hapa naandika machozi yananitiririka,Ilikuwa sipo duniani jina la Yesu ndio limeniokoa yaani isingekuwa kulitaja jina Yesu sasa hivi ingekuwa bahari nyingine. Aisee ndugu zanguni Yesu yupo na anaweza. Yesu ndio jina lililo kuu kupita majina yote duniani

Kesho nikipata nafasi nitakuja kutoa ushuhuda wangu.

Thanks a lot Jesus.

Kuanzia Leo mimi na bahari za ushirikina na uchawi ndio nimezizika rasmi...
 
Bwana Yesu apewe sifa. Leo jina la Yesu limenitendea jambo kubwa sana katika maisha yangu. Wakuu ilikuwa si mchezo.

Hapa naandika machozi yananitiririka,Ilikuwa sipo duniani jina la Yesu ndio limeniokoa yaani isingekuwa kulitaja jina Yesu sasa hivi ingekuwa bahari nyingine. Aisee ndugu zanguni Yesu yupo na anaweza. Yesu ndio jina lililo kuu kupita majina yote duniani

Kesho nikipata nafasi nitakuja kutoa ushuhuda wangu.

Thanks a lot Jesus.

Kuanzia Leo mimi na bahari za ushirikina na uchawi ndio nimezizika rasmi...
Glory to God the almighty...
 
Hata bro Mshana jr, naona muelekeo unaleta matumaini. Maana sasa hivi thread za uchawi zimepungua kaanza za upatanishi na nasaha za maisha, ingawaje kaanza ulozi toka darasa la pili, ni jambo la muda tu atang'hatuka rasmi..
 
Bwana Yesu apewe sifa. Leo jina la Yesu limenitendea jambo kubwa sana katika maisha yangu. Wakuu ilikuwa si mchezo.

Hapa naandika machozi yananitiririka,Ilikuwa sipo duniani jina la Yesu ndio limeniokoa yaani isingekuwa kulitaja jina Yesu sasa hivi ingekuwa bahari nyingine. Aisee ndugu zanguni Yesu yupo na anaweza. Yesu ndio jina lililo kuu kupita majina yote duniani

Kesho nikipata nafasi nitakuja kutoa ushuhuda wangu.

Thanks a lot Jesus.

Kuanzia Leo mimi na bahari za ushirikina na uchawi ndio nimezizika rasmi...

UPDATE: Wakuu msione kimya. Bado sijapata nafasi ya kutoa ushuhuda wangu. Nikipata nafasi nitakuja kushuhudia A to Z.
Njoo tu mkuu, ueleze jinsi ulivyomkandamiza yule mwovu kwa jina la Yesu.
 
Bwana Yesu apewe sifa. Leo jina la Yesu limenitendea jambo kubwa sana katika maisha yangu. Wakuu ilikuwa si mchezo.

Hapa naandika machozi yananitiririka,Ilikuwa sipo duniani jina la Yesu ndio limeniokoa yaani isingekuwa kulitaja jina Yesu sasa hivi ingekuwa bahari nyingine. Aisee ndugu zanguni Yesu yupo na anaweza. Yesu ndio jina lililo kuu kupita majina yote duniani

Kesho nikipata nafasi nitakuja kutoa ushuhuda wangu.

Thanks a lot Jesus.

Kuanzia Leo mimi na bahari za ushirikina na uchawi ndio nimezizika rasmi...

UPDATE: Wakuu msione kimya. Bado sijapata nafasi ya kutoa ushuhuda wangu. Nikipata nafasi nitakuja kushuhudia A to Z.
Karibu nyumbani.. Mahali pekee ambapo unaweza ukatua mizigo yako ya machungu katika dunia hii ni wokovu yani ndani ya kristo. Kumkiri Yesu kama bwana ni mwanzo wa maisha mapya
 
Back
Top Bottom