Likud Nimeokoka

Likud Nimeokoka

Karibu nyumbani.. Mahali pekee ambapo unaweza ukatua mizigo yako ya machungu katika dunia hii ni wokovu yani ndani ya kristo. Kumkiri Yesu kama bwana ni mwanzo wa maisha mapya
Asante Mtumishi
 
Salama boss. Nipo mara moja moja. Mijadala ya hoja imepungua sana, na matusi wengine kwetu ni no go. Umewasahau October, XPaster,Max Shimba, Eyal na wengineo
Wote nawakumbuka walau mara moja moja Eiyer huwa namsoma kwenye comment ya baadhi ya nyuzi.

Hao wengine muda sana sijawasoma
 
Bwana Yesu apewe sifa. Leo jina la Yesu limenitendea jambo kubwa sana katika maisha yangu. Wakuu ilikuwa si mchezo.

Hapa naandika machozi yananitiririka,Ilikuwa sipo duniani jina la Yesu ndio limeniokoa yaani isingekuwa kulitaja jina Yesu sasa hivi ingekuwa bahari nyingine. Aisee ndugu zanguni Yesu yupo na anaweza. Yesu ndio jina lililo kuu kupita majina yote duniani

Kesho nikipata nafasi nitakuja kutoa ushuhuda wangu.

Thanks a lot Jesus.

Kuanzia Leo mimi na bahari za ushirikina na uchawi ndio nimezizika rasmi...

UPDATE: Wakuu msione kimya. Bado sijapata nafasi ya kutoa ushuhuda wangu. Nikipata nafasi nitakuja kushuhudia A to Z.
Lete huo ushuhuda, ili tujue wakina nani uliwakosea na sehemu gani
 
Back
Top Bottom