Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,233
Heri yako wewe mrundi, unaingia kazini saa 6:17 na kuanza kuchat
Wabongo kwa kupenda likizo! Kazini kwenyewe mnaingia saa nne then saa nne na nusu supu, saa sita lunch, saa saba na nusu kusoma magazeti, saa tisa mnarudi majumbani kwenu. Likizo ya nini wakati kazi hamfanyi?