Likizo za shule kufuata ratiba ya Serikali

Acheni ujinga wenu mlililia kuchinja nyie ndo muwe wachinja vitoweo vyetu tukawapa nw mnataka na rikizo ya eid haaaaaa tumie akili akili kumkichwa
 
Naiomba Serikali/wizara husika kufikiria tena ratiba zenu za likizo. Ndugu zetu wa madhehebu ya kikristo wao hawana tatizo na likizo hizi za wanafunzi.

Naomba Serikali kufikiria upya ratiba za likizo za wanafunzi mara zote sikukuu za kikristo; Pasaka na Krismass shule hufungwa lakini sikukuu ya kiislamu shule hazifungwi.

Utakuta wanafunzi wa kiislaamu wanafunga swaum ya ramadhani kwa mazingira magumu wakiwa wapo shule hata futari yao pia ya shida.

Inapofika siku ya Iddi e-fitri wanafunzi wa kiislamu wapo shule wanaedelea na masomo Idd kubwa pia wapo shule labda itokee bahati nzuri ratiba ya serikali imeangukia kwenye Iddi hapo watapumua.

Nawaomba bakwata ingawa chama hiki cha bakwata sikiamini kabisa walizungumzie suala hili nawaomba wabunge mliangalie na mlisemee
Hujui kuwa serikali ya tz inafuata mfumo wa kikristo?hamia airtel jomba
 
Ni kweli lakini, unapokuwa kwenye swaumu siunaendelea na majukumu kama kawaida? Kuhusu sikuu za idd mbona watoto huwa hawaendi shule pia tatizo ni kuwa siku yenyewe haieleweki kwani inategemea kuonekana kwa mwezi,
Kwamba mtu akikaa angani akatumulika na tochi tayari!
 
Serikali wanafata kalenda ya mabeberu ndani kuna yake kuna mungu mwanamke ,mwezi wa pili
 
Hoja yako haina mashiko ukiangalia mwaka mzma una VIP info v nne vya wanafuzi kupumzika ila skuku huwa znakutwa ndani ya rikizo za serikali alafu waislam kila mwaka mfungo unacount down
 
Ndugu zangu waislamu, kufunga msichukulie kana kwamba ni adhabu. Kufunga ni ibada, kuishi ufukara ule ambao wasionacho ndiyo maisha yao ya Kika Siku. Sasa shekh unataka ufunge huku ukiwa umepumzika Nyumbani kwako!? Unapata swawabu gani!!
 
Japo mimi ni kijana wa Yesu na siyo wa Issa bin Mariam, na mtoto wa Mungu (Jehovah) na siyo Allah maana ya mid term break imepotea kabisa!

Yaaaani baada ya "mid term" break watoto wanasoma wiki tatu then wanafanya mtihani wa kumaliza muhula

Kiufupi mihula imepangwa kufuata ratiba ya Pasaka na siyo ya serikali

Swala lingine Easter Monday iwe ni siku ya kazi. Tunapoteza muda sana. Ni aheri Alhamisi iwe sikukuu kuliko hata Jumatatu

Damu ya Yesu Kristo iwalinde wote mliosoma hapa

Amen [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Unawaomba bakwata....
Unaiomba serikali?
Mkuu ivi umesahau kua serikali haina dini?
Kama unafikiri niraisi hayo hayo mambo unayoomba, basi nami nitawaomba baraza la ma askofu waiombe serikali ifikilie upya ajira ya kuchinja maana wenye haki ya kupata ajira hiyo ni waislam pekee nchi hii.
Hili la kuchinja kwa kweli wakristo tunaonewa sana! Ukifuata ukristo kwa undani si sahihi kula chakula kilichochinjwa na wanaompinga Yesu Kristo ( kumbuka Yesu siyo Issa)
 
Mimi ni muislamu lkn siungi mkono hoja kwasababu miezi ya kiislamu haipo fixed kwenye kalenda ya kizungu. Mfano. Mwaka 2004/2005 mwezi wa ramadhani uliangulia Novemba/Desemba lkn mwaka 2019 mwezi wa ramadhani unaangukia Mei/ Juni!

Ni ngumu sana mkuu.
 
Naiomba Serikali/wizara husika kufikiria tena ratiba zenu za likizo. Ndugu zetu wa madhehebu ya kikristo wao hawana tatizo na likizo hizi za wanafunzi.

Naomba Serikali kufikiria upya ratiba za likizo za wanafunzi mara zote sikukuu za kikristo; Pasaka na Krismass shule hufungwa lakini sikukuu ya kiislamu shule hazifungwi.

Utakuta wanafunzi wa kiislaamu wanafunga swaum ya ramadhani kwa mazingira magumu wakiwa wapo shule hata futari yao pia ya shida.

Inapofika siku ya Iddi e-fitri wanafunzi wa kiislamu wapo shule wanaedelea na masomo Idd kubwa pia wapo shule labda itokee bahati nzuri ratiba ya serikali imeangukia kwenye Iddi hapo watapumua.

Nawaomba bakwata ingawa chama hiki cha bakwata sikiamini kabisa walizungumzie suala hili nawaomba wabunge mliangalie na mlisemee
Mkuu naona kichwani kwako una double standards na mentality finyu. Kumbuka pia wakristo hufunga quaresma so ipe uzito kama ramadhani they are almost the same.kuhusu eid ina fluctuate ni ngumu shule kuwa na mfumo unao fluctuate kila mwaka ni hayo tu
 
Unawaomba bakwata....
Unaiomba serikali?
Mkuu ivi umesahau kua serikali haina dini?
Kama unafikiri niraisi hayo hayo mambo unayoomba, basi nami nitawaomba baraza la ma askofu waiombe serikali ifikilie upya ajira ya kuchinja maana wenye haki ya kupata ajira hiyo ni waislam pekee nchi hii.
Ajira ya watu wasiokiwa na elimu
 
Mkuu naona kichwani kwako una double standards na mentality finyu. Kumbuka pia wakristo hufunga quaresma so ipe uzito kama ramadhani they are almost the same.kuhusu eid ina fluctuate ni ngumu shule kuwa na mfumo unao fluctuate kila mwaka ni hayo tu
Hapana hizo ni 'lame excuse' za kuonea watu wa imani zingine imagne Uganda nchi ambayo ina 25% ya waislamu wanafunzi wa sekondari wamefunga leo watafungua tarehe 6/au 7 june mpaka wamalize mfungo wa Ramadhani na siku kuu ya Idi wana heshimu imani yawezao hapa nikama ligi au kukomoana tu hamna lingine.....
 
Kumbuka tz pia mwezi jun tuna likizo nyingine je! Waganda walikua na likizo mwezi uliopita?
 
Issue sio likizo issue kuwa torelant na kuweka heshima kwenye imani zingine sio kipaumbele kiwekwe kwenye upande mmoja tu
 
Back
Top Bottom