Likizo za shule kufuata ratiba ya Serikali

Ni kweli lakini, unapokuwa kwenye swaumu siunaendelea na majukumu kama kawaida? Kuhusu sikuu za idd mbona watoto huwa hawaendi shule pia tatizo ni kuwa siku yenyewe haieleweki kwani inategemea kuonekana kwa mwezi,
... huyo anajitoa ufahamu Mkuu. Anataka kujenga hoja uchwara eti wapumzike kipindi cha mfungo!
 
... at least iko stable to some extent. Pasaka haiwezi kuangukia kabla ya Machi 22 au baada ya Aprili 25; those are the possible ranges angalau hadi ifikapo mwaka 2400 (miaka 381 ijayo - hatutakuwepo).

Soma hiyo: https://www.staff.science.uu.nl/~gent0113/easter/easter_text3a.htm
Umejitaidi ila kumbuka pia kila wizala na Kila Department inakua na kalenda yake. Pale wana plan annual Goals Objectives and alike. Cha msingi kuna issues zinapuuzwa tu. Ila znapangika
 
Unawaomba bakwata....
Unaiomba serikali?
Mkuu ivi umesahau kua serikali haina dini?
Kama unafikiri niraisi hayo hayo mambo unayoomba, basi nami nitawaomba baraza la ma askofu waiombe serikali ifikilie upya ajira ya kuchinja maana wenye haki ya kupata ajira hiyo ni waislam pekee nchi hii.
Naiomba Serikali naiomba wizara husika kufikiria tena ratiba zenu za lilizo. Ndugu zetu wa madhehebu ya kikristo wao hawana tatizo na lilizo hizi za wanafunzi.

Naomba Serikali kufikiria upya ratiba za likizo za wanafunzi mara zote sikukuu za kilristo pasaka na krismass shule hufungwa lakini sikukuu ya kiislamu shule hazifungwi.

Utakuta wanafunzi wakiislaamu wanafunga swaum ya ramadhani kwa mazingira magumu wakiwa wapo shule hata futari yao pia ya shida.

Inapofika siku ya iddi fitri wanafunzi wakiislamu wapo shule wanaedelea na masomo idd kubwa pia wapo shule labda itokee bahati nzuri ratiba ya serikali imeangukia kwenye iddi hapo watapumua.

Nawaomba bakwata ingawa chama hiki cha bakwata sikiamini kabisa walizungumzie suala hili nawaomba wabunge mliangalie na mlisemee
 
Hivi unajua kwamba kwa waislamu huu si mwaka 2019? Hiyo dini ina namna yake ya kuhesabu siku na siyo kama kalenda ya serikali ambayo kwa sehemu kubwa hufanana na kalenda ya wakristo. Ujue alipozaliwa Yesu ndio tukaanza kuhesabu hizi tunavyohesabu. Labda useme kwamba serikali isiwe na ratiba inayofanana na ile wa wakristo kitu ambacho ni kigumu sana maana serikali yetu itapishana na dunia nzima na kitakuwa ni kituko cha mwaka. Dini ziendelee na mambo yao na serikali iendelee na ya kwake. Ni vigumu kutimiza matakwa ya imani ya mtu maana wengine wataomba mapumziko kwenda kuabudu miti, ng'ombe na mizimu
 
Tatizo mwezi mtukufu wa Ramadhani haunaga specific time, unaweza kukuta mwaka huu unaanza mwezi wa tano, .wakani ukaanza mwezi wa tatu au wa nne au wa sita nk.
 
mfumo wa elimu na kalenda zake tumechukua nchi za Magharibi ambao ni Christians, urabuni nadhani tumechukua elimu ya kidini pekee ambayo hai-ingiliani na kalenda tumika
 
Ili hoja yako iwe na mashiko ni lazima pia ushauri serikali ifuate kalenda ya kiislam, vinginevyo itakuwa vigumu sana kwani sikukuu za kiislam zinazunguka kama saa!!

mfano ikifika mwezi wa januari kalenda ya kiislamu huwa ipo tayari imejieleza sikukuu ni lini hapo wanaweza kufanya masahihisho
 
Naiomba Serikali naiomba wizara husika kufikiria tena ratiba zenu za lilizo. Ndugu zetu wa madhehebu ya kikristo wao hawana tatizo na lilizo hizi za wanafunzi.

Naomba Serikali kufikiria upya ratiba za likizo za wanafunzi mara zote sikukuu za kilristo pasaka na krismass shule hufungwa lakini sikukuu ya kiislamu shule hazifungwi.

Utakuta wanafunzi wakiislaamu wanafunga swaum ya ramadhani kwa mazingira magumu wakiwa wapo shule hata futari yao pia ya shida.

Inapofika siku ya iddi fitri wanafunzi wakiislamu wapo shule wanaedelea na masomo idd kubwa pia wapo shule labda itokee bahati nzuri ratiba ya serikali imeangukia kwenye iddi hapo watapumua.

Nawaomba bakwata ingawa chama hiki cha bakwata sikiamini kabisa walizungumzie suala hili nawaomba wabunge mliangalie na mlisemee
Badilisheni ratiba zenu, Ombi lako haliwezekani, pole lakini
 
Uko na hoja ya msingi ila tumelisi mfumo Vatican toka tumepata uhuru toka kwa mwingereza....

Tungekuwa uhuru na warabu labda ingekuwa tufauti ndio maana unaona utofauti..
 
Tatizo mwezi mtukufu wa Ramadhani haunaga specific time, unaweza kukuta mwaka huu unaanza mwezi wa tano, .wakani ukaanza mwezi wa tatu au wa nne au wa sita nk.

mwezi mtukufu wa ramadhani utaijua kwenye kalenda ya kislaamu ikiwa kalenda imeandika 6/5/2019 ni ramadhani basi ujue kuona mwezi haupishani sana na kalenda zinapisha siku moja tu
 
e1723910-fa57-494e-bbbe-b3b2a58d72dd.jpg
 
hiyo ni kalenda inajieleza ramadhani lini wala haina mjadala
 
Tatizo mwezi mtukufu wa Ramadhani haunaga specific time, unaweza kukuta mwaka huu unaanza mwezi wa tano, .wakani ukaanza mwezi wa tatu au wa nne au wa sita nk.
Mkuu tarehe zinajulikana isipo kua utashi ndo shida angalia ratiba ya mwezi wa Ramadhani kamiaka 10 injao....tafouti ni ya siku mbili au tatu kama pasaka inavokua kila mwaka sio tarehe ile ile kimabadilika
Screenshot_20190502-155716~2.jpeg
 
pale imeandikwa shaaban ya 26 kwa hiyo imebaki siku 4 kuanza ramadhani au 3 maana tarehe 29shaaban ukiona mwezi kesho yake tunafunga kama hutukuuona tunakamilisha siku 30 mbona simply
 
mfano ikifika mwezi wa januari kalenda ya kiislamu huwa ipo tayari imejieleza sikukuu ni lini hapo wanaweza kufanya masahihisho
... duh! Hiyo kali. Mipango ya nchi inapangwa kwa miaka 5, 10, 25, hadi 50 ijayo Mkuu. Itakuwa kituko kusubiria Idd fulani itakuwa lini ili masahihisho yafanyike.
 
Mkuu tarehe zinajulikana isipo kua utashi ndo shida angalia ratiba ya mwezi wa Ramadhani kamiaka 10 injao....tafouti ni ya siku mbili au tatu kama pasaka inavokua kila mwaka sio tarehe ile ile kimabadilika View attachment 1086316
... kumbe hadithi za "mwezi kuonekana" ni changa la macho tu!
 
Tofouti ni kwamba inakua ya siku moja au mbili kwasababu mwezi haunaga siku maalumu kati ya 30, na 29.....kama waislamu wange heshimiwa hilo nijambo dogo sana kwa raia zaidi ya 60% wa nchi hi.
 
Nafikiri mtoa mada ana hoja ya msingi ingawa inawezekana asieleweke kwa kila mtu. Na nafikiri pia hamaanishi waislamu wakati wa ramadhan basi Shule zifungwe. Nadhani il I mjadala huu uwe na Afya lazima maswala ya msingi bila kusukumwa na chembe au hisia za" udini upendeleo" bali yale ya kweli. Ni kweli waislam kalenda yao ni dynamic na hivo ni ngumu kuifuata kwa ajili ya mapumziko kwa wanafunzi. Lakini pia hoja ya mid term nadhan ni miezi mitatu na si minne km ilivojitokeza mwaka huu. Mim ni mtumish Wa serikali ambako ktk secta niliyopo huwa tunalipwa mshahara kila tar 24 ya kila mwezi Kwa awamu hii ya magufuli. Ktk moja ya magroup yetu ya wasapp kuna mchangiaji mmoja alipost na kusema NMB oyee akimaanisha mshahara tiyari na hii ilikuwa tar 19 mwezi Wa nne. Alishambuliwa sana na wanagroup kwamba uenda anavuta bangi au amelogwa. Lakin ukweli serikali ilitoa mshahara siku hyo ya alhamis. Manake nn ijumaa ilikuwa ijumaa kuu, na tar 24 ilikuwa jumanne baada ya jtatu ya pasaka. Sasa kwann mshahara haukulipwa tar hyo. Kwhy kuna mambo mengi ya kujadili
 
Back
Top Bottom