Likizo ya mapenzi(Hall pass)

Likizo ya mapenzi(Hall pass)

Mwambie aje antembelee kaka yake kipind cha likizo
 
Kama haumtaki/haumpendi mpe likizo tuh.then subria mrejesho wake.
 
Mimi nipo kwenye likizo baada ya kuona kila siku ugomvi then sababu ni ile ile, week ya pili hii japo jana kaniona na kamdada kengine. Mbaya zaidi ye ndo huwa wakwanza kunitafuta but now naona kashasepa huyo BTW everything must come to an end.
 
Mara nyingi kurudi huwa ni ngumu..wengi wanapoomba likizo anataka apumzike from dramaz za uhusiano ila cha ajabu sasa lazima atakutana na mtu mwingine amazing zaidi ya yule..taratibu anahama mwishowe inakuwa ameondoka sio likizo tena
 
nakusoma mkuu....mana nikiwa naye hzo simu na msg za watu..mpaka kero...sasa sijui anawakataliaga wote au wengine tunashare..sifahamu
Mna share mkuu ukiendelea jua siku utapigiwa simu na shareholder mwenzako anunue share zako zote kama vipi
 
Kama unajiamin unatoa to likizo ila kama ujiamin usitoe utawa mtu
 
Um
Hivi jameni likizo za mapenzi zinasaidia? Kuna mtu nataka nimpe likizo...mana nahisi tunapoelekea sipo...kwa waliojaribu..vp mlifanikiwa kurudisha malove-dove?
Umpe likizo kisa? Kama kashindwa kustahimili magumu hapo akataka likizo usitegemee ktk ndoa atakuvumilia; halafu hiyo likizo anakua aanafanya nini kwanza; mm nawashangaaga sana watu wanataka likizo au wanao omba likizo ya mapenzi. Hakufai huyo na akienda trust me harudi.
 
huu uzungu huu , wacheni kuiga ..........maisha hayajaribiwi ki hivo. mnasahau kuwa kuna magonjwa ya kuambukiza ...............?
 
Back
Top Bottom