Likizo ya mapenzi(Hall pass)

Likizo ya mapenzi(Hall pass)

Likizo imekuwa kazi, hivi mapenzi ni nini?
Hadi yana likizo
 
Ukitaka kumjua mwizi wako jaribu kutoa likizo




Lkn vumilia sababu mapenzi kuna muda kanakera hadi unatamani kuyaacha ila upepo ukipita mtakuwa sawa
 
Kama alikupenda atarudi, lkn kama ulikuwa kiraka ndo kipimo hicho
Inategemea na jinsi likizo inavyotolewa + uelewa wa mtu, sababu kuna watu hata wakipenda vipi huwa hawababaishwi, hivi mfano mtu anaitoa kwa kashfa then hiyo kashfa imkute muelewa hiyo ndio inakua basi.
 
Hivi jameni likizo za mapenzi zinasaidia? Kuna mtu nataka nimpe likizo...mana nahisi tunapoelekea sipo...kwa waliojaribu..vp mlifanikiwa kurudisha malove-dove?
Kama likizo unampa mkeo USIJARIBU unless unataka muachane.

Wanawake wanao pewa likizo na waume zao wanagegedwa hamna mfano.

Kama unataka kuchapiwa kirahisi basi mpe likizo.
 
nakusoma mkuu....mana nikiwa naye hzo simu na msg za watu..mpaka kero...sasa sijui anawakataliaga wote au wengine tunashare..sifahamu

Dah hili janga sawa na langu nilililonalo,anasema ananipenda ila hizo text ktk simu yake ni shiida,akija gheto ana delete sms zote ila siku moja night akiwa amelala ziliingia sms za kutosha zote ni za mamen wakiomba hifadhi,zilinipa mashaka aisee na sasa nammwaga mazima maana simuelewi elewi
 
Duh...kwa kweli...alaf ni mremboje..nahc atachukua ata week kubebwa
Ndiyo shida hii urembo wake unakufanya uteseke.....mbona warembo wako wengi. Angalia amani ya moyo wewe urembo si kitu.
 
Nliwahi kupewa likizo kama Hiyo nkiwa secondary.....tukakubaliana kwa at least 3 months.

Kilichofuata sasa.... Kwa vile mwanzon tulipendana saana then tukawa hatuelewani in each and every thing.....

Paka Leo likizo haijaishaga....maika mitano imepita.

Na sitamani iishe. Kila MTU anajua 50 zake.....

Nlichokuja kuelewa....ile ilikuwa peaceful divorce Wala sio likizo

Kuwa makini
 
Huyo mpe ya mojakwamoja, anatishia kumwaga mboga, wewe zimwage kabisa akiwa na njaa atazoa na kuzila
 
Mimi tayari nimetoa likizo ya mwezi, no calls, no msg na ninahisi kapata mwingine ana move on
 
Back
Top Bottom