Likizo ya Dr. Slaa na kukaa pembeni kwa Prof Lipumba

Likizo ya Dr. Slaa na kukaa pembeni kwa Prof Lipumba

Mimi nafikiria,ikiwa tunataka uongozi mzuri hatuhitaji ccm ishinde saana au ukawa washinde saana..napenda kila mmoja amhitaji mwenzie ktk kufanya maamuzi..kinachoendelea pale bungeni dodoma huwa kinanikera sana..

Wote tungekuwa tunamawazo kama haya tungekuwa mbali sana.

Cdm/ccm wakingiiza wabunge wengi mjengoni lazima watafanya maamuzi yenye maslahi kwa vyama vyao na sio kwa wananchi, tuombe Mungu wabunge iwe 50/50.
 
Let's hope so..
Mi naamini kama wakindelea kushikamana baada ya uchaguzi huu,bila kujali kama wameshindwa,uchaguzi utakaofuata hawatafanya kampeni..game litakuwa simple sana kwa upande wao..

i dnt thnk xo,unafikir ccm kwa hali jnx inavoendelea watafanya makosa ya kipuuzi wakishka tena dola!!na nadhani tunajua ufuatiliaji wa magufuli,wanasema mfumo wa ccm hatoweza kuleta changes lakin wamesahau alikua ndan ya mfumo huohuo akawa anafanya vyema kwenye kila wizara anayoenda despite of small weakenex kwa baadhi ya watendaji wake
 
Hiv unajua tone hilohilo moja lenye kemikali linaweza kuathiri sehemu kubwa ya bwawa. Cdm ni km bwawa lenye kingo zake hawa watu sio wa kuwabeza kiivyo. Wataalamu wa siasa wanajua hilo kwamba ni bomu lililotegwa..subiri lilipuke

Kwa taarifa yako Dr.Slaa kwa sasa hayupo kwenye Mahesabu ya UKAWA.Watu wanamsubiri anakavyoibuka ili wajue jinsi ya kutoa taarifa zake.Mwenzake Lipumba kakimbilia Rwanda.
 
Suala zima ni ukombozi sio malumbano kuhusu Dr Slaa.tafakarini masuala ya kuingoa ccm.
 
i dnt thnk xo,unafikir ccm kwa hali jnx inavoendelea watafanya makosa ya kipuuzi wakishka tena dola!!na nadhani tunajua ufuatiliaji wa magufuli,wanasema mfumo wa ccm hatoweza kuleta changes lakin wamesahau alikua ndan ya mfumo huohuo akawa anafanya vyema kwenye kila wizara anayoenda despite of small weakenex kwa baadhi ya watendaji wake

And of course,that's what we want..
hitaji letu kubwa si vyama..hitaji letu ni maendeleo..
kama anapatikana mtu anatuletea maendele,basi kheri..
​
 
Back
Top Bottom