Likizo ya Dr. Slaa na kukaa pembeni kwa Prof Lipumba

njeeseka

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
1,374
Reaction score
985
Hawa watu ni wana taaluma pasi na shaka.

Kuna nini nyuma ya likizo isiyo wazi kuhusu mwisho wa siku za mapumziko kwa Dr Slaa maana tumeaminishwa yupo mapumzikoni mbona Mbowe kasema anapumzishwa kwa masaa, kwa nini Slaa hawasemi mwisho lini? Prof.

Alisema yuko nje ya nchi anafanya tafiti na wiki ijayo angetokea, mmmh.

Hii ikoje?
 
msitusumbue na Slaa wenu huyo...vyama vipo vingi...kama vipi aanzishe chake maana na yeye alikaribishwa chadema na hapo hapo akapewa nafasi ya kugombea Ubunge...sioni mantiki ya yeye kuona nongwa kwa Lowasa.
 
Tena ni watu ambao jamii tunawahitaji sana lakini shetani kacheza na kichwa cha mbowe na haya ndo matunda ya kukumbatia tammaa ya pesa
 
Nimekuwa najiuliza..hivi ikitokea kwenye uchaguzi huu,kwa bahati mbaya,ukawa wakashindwa..nini hatima yake baada ya hapa?
 
Tena tutawakomesha ili mujue kwamba CDM si yenu pekee, ni yetu sote na kama tunaichana vipande tuichane ama sivyo muondoke nyinyi walafi wakubwa
 
msitusumbue na Slaa wenu huyo...vyama vipo vingi...kama vipi aanzishe chake maana na yeye alikaribishwa chadema na hapo hapo akapewa nafasi ya kugombea Ubunge...sioni mantiki ya yeye kuona nongwa kwa Lowasa.

Chukua like
 
Nimekuwa najiuliza..hivi ikitokea kwenye uchaguzi huu,kwa bahati mbaya,ukawa wakashindwa..nini hatima yake baada ya hapa?

Unajua Slaa na Prof watasema nn? Hapo ndio utamuona Zitto akiwakaribisha rasmi kambi kuu ya upinzani na ukawa kwisha maana wengi wao watahangaika hospitali kunusuru afya zao
 
Tena ni watu ambao jamii tunawahitaji sana lakini shetani kacheza na kichwa cha mbowe na haya ndo matunda ya kukumbatia tammaa ya pesa

Magamba safari hii mtateseka sana! Tulieni tu sindano inyong'onyee vizuri!
 
Nimekuwa najiuliza..hivi ikitokea kwenye uchaguzi huu,kwa bahati mbaya,ukawa wakashindwa..nini hatima yake baada ya hapa?

Hilo wameshalifikiria wala lisikuumize kichwa... mwaka 2005 CDM walivyoshindwa tukajua ndio basi tena kumbe ndo mwanzo...serikali za mitaa wakaumiza sana
 
Let's hope so..
Mi naamini kama wakindelea kushikamana baada ya uchaguzi huu,bila kujali kama wameshindwa,uchaguzi utakaofuata hawatafanya kampeni..game litakuwa simple sana kwa upande wao..
 
Hawa watu ni wana taaluma pasi na shaka. Kuna nini nyuma ya likizo isiyo wazi kuhusu mwisho wa siku za mapumziko kwa Dr Slaa maana tumeaminishwa yupo mapumzikoni mbona Mbowe kasema anapumzishwa kwa masaa......kwa nini Slaa hawasemi mwisho lini? Prof. Alisema yuko nje ya nchi anafanya tafiti na wiki ijayo angetokea...mmmh. Hii ikoje?

Si tulishafunga mijadala ya slaa na leprofeseliii,hao ni kama tone kwenye bahari,kwa sasa tunadeal na kumnadi lowasa wetu.
 
Let's hope so..
Mi naamini kama wakindelea kushikamana baada ya uchaguzi huu,bila kujali kama wameshindwa,uchaguzi utakaofuata hawatafanya kampeni..game litakuwa simple sana kwa upande wao..

Ni kweli mkuu...kama wataangalia mbali hawatagawanyika wakishindwa uchaguzi mkuu huu
 
Hiv unajua tone hilohilo moja lenye kemikali linaweza kuathiri sehemu kubwa ya bwawa. Cdm ni km bwawa lenye kingo zake hawa watu sio wa kuwabeza kiivyo. Wataalamu wa siasa wanajua hilo kwamba ni bomu lililotegwa..subiri lilipuke
 
Kwani hujui kilichopo nyuma yake upo taifa lipi wewe.
 
Mimi nafikiria,ikiwa tunataka uongozi mzuri hatuhitaji ccm ishinde saana au ukawa washinde saana..napenda kila mmoja amhitaji mwenzie ktk kufanya maamuzi..kinachoendelea pale bungeni dodoma huwa kinanikera sana..
 
Hiv unajua tone hilohilo moja lenye kemikali linaweza kuathiri sehemu kubwa ya bwawa. Cdm ni km bwawa lenye kingo zake hawa watu sio wa kuwabeza kiivyo. Wataalamu wa siasa wanajua hilo kwamba ni bomu lililotegwa..subiri lilipuke

Yap! i think so.
 
Back
Top Bottom