CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
- Thread starter
-
- #21
Pia napenda kuungana na wewe kwenye masikitiko haya kwa kuwa nitaambatana na wewe kwenda likizo kule kisiwani!
Ntawamiss sana ila tutakuwa tukipatikana kwa 0713-800 800 masaa 24
charminglady nimeanza kuku mis kabla hata j.tatu haijafika
We will miss youuuu
tutakukosaje bimdada...nenda salama...
Hata mie ntawakosa... Tutaonana!!!
lol shostito mi ntakumis walahi ila siutahudhuria kile kikao chetu cha mabachelor wa CC.Mungu akutagulie umalize likizo salama urudi na story na mbwembwe nyingi hapa jamvini ila siutumie hata simu mbona neti kila mahali au waenda kufundwa?????????
byebyeeee....
Potelea mbali charminglady, ghairi hiyo likizo best na uifanye ya DEC 2015. Yanini kutuacha bila charming yako?
In the serious note usizime simu nina kazi nawe!
If I say i'll miss you that will a great lie...coz we reside in the very same house.
Mnaouliza anaenda wapi, basi jibu lake ni kwamba familia yangu inaenda likizo ndefu huko Maldves...
Ndugu wana Chitchat na JF kwa ujumla...
Nasikitika kuwaaga :sad: :sad: :sad: , kuanzia jumatatu ya tarehe 18/03/2013 nitakuwa nje ya Jukwaa letu pendwa kwa muda usiojulikana. Mungu akipenda tutaonana tena hapa jukwaani.
Nitawamiss saaaaaaaana.....
Aione: Daddy watu8, Mummy measkron, Sisters sweetlady & WiseLady, cousins ladyfurahia, FirstLady, brother Davie S.M, Elizabeth Dominic, Mtambuzi, Erickb52, Arushaone, Jiwe Linaloishi, Paloma, Madame B, amu, Mr Rocky, Asnam, Zion Daughter, Arabela, Filipo, marejesho, Bishanga, KakaKiiza, Nivea, Chimbuvu, C6 , ThinkPad, Yegomasika, Lucas, Asprin, King'asti, gfsonwin, cacico, snowhite na wanaJF wooooote!!!!!!!!!!
:humble: :humble: :humble: charminglady - Miss Chitchat 2012 :A S 103: :A S 103::A S 103::A S 103:
My dear daughter charminglady nikutakie mapumziko mema hope you will be back soon we will really miss you a lot. As usual ni family vacation time na Sie tunakuja soon to join you...
Mtambuzi kulikoni weee mzee!?Unampeleka charminglady wapi?!Wiki hii ulikuwa Mwanza na sasa tunaagwa