kashesho
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 4,972
- 2,494
habari wana jf kuanzia alhamisi ni holiday yaani 8/8 kama sio sikukuu ya Idd, ijumaa nayo uwezekano mkubwa wa kuwa sikukuu pia kwa wale wenzetu waislam. sasa likizo hiyo ya siku nne nitakuwa mpweke maana nilisaka mwenza hapa jf nikakosa je ni sehemu ipi tulivu naweza nikakaa peke yangu na kumaliza likizo yangu? mimi nipo dar