Likes

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
jaman jaman jaman hivi hizo likes zinatolewa kwa ubaguz au? Natumia nokia e65 na pia browser ni opera min 6.5 tangu nimejiunga nasikiaga watu wanapeana likes ila mim sijawah kuona hcho kitufe kabisa. Au mda wangu wa kupewa bado?
 
Sie wa mobile inthaneteng hatuna huduma hiyo...
Mpaka ueke desktop mode...
 
Umefail somo la kutoa ushauri nasaha....
Hujamgongea mtu wa watu hata like ili kumpa moyo??


kuelewa shida jameni?
Huyu hajasema kuwa hajapewa 'like', inawezekana anapewa ila hawezi kuziona mpaka aweke 'Desktop' mode.,. Na kuhusu kitufe ndo ivo hivyo, hawezi kukiona kwa kuwa anatumia simu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom