Mugare
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 669
- 846
Habari wanajamvi! hivi mbona like zimekua adimu sana humu hata uone mtu kacoment point nzuri na yenye mashiko ila utaona coment yake inapitwa tu hapo na watapewa like wengine waliocoment upuuzi tu, navoona ni kama like zinatoka kwa kuangaliana majina na kwa kujuana na kwa style hii tafsiri yake ni kwamba mawazo mazuri yanapuuzwa na kipaumbele kutolewa kwa mawazo ya kipuuzi, dhihaka na kejeli!
Nadhani sio sawa tusapoti mawazo mazuri ili kujengeana kujiamini katika kujenga hoja na kuwa na mitizamo chanya
Nadhani sio sawa tusapoti mawazo mazuri ili kujengeana kujiamini katika kujenga hoja na kuwa na mitizamo chanya