Like ya Roulette is so sexy!

kule nimehama muda tu, nilikuwa lunch na Kaizer my shemeji ndio tu nimerudi!

Kaizer unamjua vizuri? ni shemeji shemeji

namjuaje sasa??? ila ni shemeji tu, si shemeji, shemeji! kha, platozoom ufukunyuku utakuponza!

Usije sema sikukwambia
platozoom nini mbaya? cacico na mimi ndo kama uji na mgonjwa aisee.....wewe endelea na Roulette tuone mwisho wake...ila kama unapenda pingu lakini! kha!
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi platozoom ni hivo hivo. hasa alipokuwa na avatar hii nilio ibandika pembeni
ya kitanda changu... jst in case nikikwama siku moja moja kwa hamu ya felo ke'
naitumia kama wavuvi wanatumia ugali kula samaki wa kwenye picha cku samaki live hayupo.



huwa nahisi hadi hio sigara inakuwepo. Sexy babe Roulette popote ulipo, come this way...............:A S 465:
 

Na wewe Erotica come this way popote ulipo nimekumisije?
 
Last edited by a moderator:
Roulette mbona nahisi umeondoka bila hata salamu?

my heart is bamping ujue?? come this way mamito. mwaaaaaaah :A S-heart-2:

usiogope, njoo nikutambulishe kwa sexy loving Kaunga.......
 
Last edited by a moderator:
Matatizo hayajaisha ila angalau kwa dakika kama 20 nilikuwa na raaha.

Mashalaaah Roulette
platozoom
JF Founder
Kwani platozoom una matatizo gani?
Sema anaweza kukusaidia tu kama yanasaidika siunajua wanadamu tumeumbwa kusaidiana kwa upendo kwa kuwa kila tulichonacho kitabakia!
Sema nae
Hahahaaaa
BTW NATANIA
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…