Like Mother Like Son-Mtoto wa Mbunge CHADEMA

Like Mother Like Son-Mtoto wa Mbunge CHADEMA

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Gwamaka Kaihula "Crazy GK" ndani ya magwanda kama mama yake mh Naomi Kaihula MB (CHADEMA) 7.jpg
 
Magwanda ni noma hakuna inaemkataa, lazima utoke chicha... tupia na ya mamaake!
 
ametokeleaje? aingie golini naye tumuone basi bigup Gwamaka crazy GK nimekumiso
 
Last edited by a moderator:
index.jpg
sijapata nzuri kdg, but here is the mother
 
Jaman kapendeza.
Nitapaje gwanda wana Jf?hata kama linauzwa laki tano nitanunua tu.
 
Jaman kapendeza.
Nitapaje gwanda wana Jf?hata kama linauzwa laki tano nitanunua tu.
wadau wenyewe watatiririka humu kama vipi wewe design la kwako ama unataka kama la Crazy?
 
Mama yake mpiganaji, kutoka kuwa mwalimu wa sekondari Dsm hapa mpaka uheshimiwa baada ya kujiendeleza kielimu kwa muda mrefu.
sana...............halafu pia ni Simba damu
 
Back
Top Bottom