Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Je Malezi ya kumpiga mtoto yanasaidia kumlea vizuri? ninaomba jibu kwenu?
Kumchapa unamchapa kivipi? Mkuu TIMINGkuna tofauti kati ya kumpiga, kumchapa, ku-spank na kumtandika
hutakiwi kumpiga mtoto au mtu yoyote
ila unaweza kumchapa mtoto (sio kwa nguvu) tena kwa utaratibu maalum aelewe kwamba ni adhabu, lakini hii ni baada ya njia nyingine kushindikana
Kumchapa unamchapa kivipi? Mkuu TIMING
Mkuu TIMING Kumfinya au kumpiga makonzi je?watoto hawachapwi waumizwe kama sisi tulivyochapwa na wazazi wetu, lakini they have to feel the pain of the punishment and the sense of reinforcement
kuhusu kuchapa vipi, naomba nisijibu mkuu, naona kama swali nilishajibu
watoto baradhuli nawapiga ki kweli wacha wakanishitaki
Mkuu TIMING Kumfinya au kumpiga makonzi je?
Sawa sawa Ummu "spare the rod and spoil the child"