Lijualikali amuita Spika na Ofisi yake 'Wahuni'!

Akizungumza na baadhi ya wana habari Mbunge huyo wa Kilombero amemuita Spika na Ofisi yake ni wahuni kwa sababu ya wao kumfanyia uhuni Nassari aliyepata kuwa Mbunge wa Meru Mashariki.

Najiuluza hivi hawa vijana huwa wanakosa kabisa maneno ya staha yasiyoweza kuwaingiza mtegoni na hatimae kuadhibiwa kwa lugha zao za matusi?

Au huwa wanatukana makusudi ili waadhibiwe na watoke tena kusema wanaonewa?

Alichokifanya lijuakali ni dharau kwa Spika na Bunge lenyewe.Ni matarajio yangu Kamati ya maadili itamshughulikia ipasavyo.

Mtu kama huyo kwa nini Bunge lisimpe adhabu ya maisha!?
Nakazia ndio ni wahuni kabisa hao
 
Ni Tanzania pekee mtu hana Uhuru Wa kuongea na kuweka wazi hisia zake juu ya tukio au mtu flani...

Serikali wanataka kusikia maneno ya kusifiwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Tanzania pekee ambapo kutukana, kudhihaki, kejeli na majungu ni sehemu ya uhuru wa kutoa maoni.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Kelli anayeruhusiwa in msukuma na Kibajaji
Akizungumza na baadhi ya wana habari Mbunge huyo wa Kilombero amemuita Spika na Ofisi yake ni wahuni kwa sababu ya wao kumfanyia uhuni Nassari aliyepata kuwa Mbunge wa Meru Mashariki.

Najiuluza hivi hawa vijana huwa wanakosa kabisa maneno ya staha yasiyoweza kuwaingiza mtegoni na hatimae kuadhibiwa kwa lugha zao za matusi?

Au huwa wanatukana makusudi ili waadhibiwe na watoke tena kusema wanaonewa?

Alichokifanya lijuakali ni dharau kwa Spika na Bunge lenyewe.Ni matarajio yangu Kamati ya maadili itamshughulikia ipasavyo.

Mtu kama huyo kwa nini Bunge lisimpe adhabu ya maisha!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akizungumza na baadhi ya wana habari Mbunge huyo wa Kilombero amemuita Spika na Ofisi yake ni wahuni kwa sababu ya wao kumfanyia uhuni Nassari aliyepata kuwa Mbunge wa Meru Mashariki.

Najiuluza hivi hawa vijana huwa wanakosa kabisa maneno ya staha yasiyoweza kuwaingiza mtegoni na hatimae kuadhibiwa kwa lugha zao za matusi?

Au huwa wanatukana makusudi ili waadhibiwe na watoke tena kusema wanaonewa?

Alichokifanya lijuakali ni dharau kwa Spika na Bunge lenyewe.Ni matarajio yangu Kamati ya maadili itamshughulikia ipasavyo.

Mtu kama huyo kwa nini Bunge lisimpe adhabu ya maisha!?
Rubish

Unajiuliza na kujijibu mwenyewe

Hata mim nasema ni wahun na wapuuzi hata wangekufa jana hakuna mtu mwenye akili timamu angehuzunika labda mapoyoyo.
 
Akizungumza na baadhi ya wana habari Mbunge huyo wa Kilombero amemuita Spika na Ofisi yake ni wahuni kwa sababu ya wao kumfanyia uhuni Nassari aliyepata kuwa Mbunge wa Meru Mashariki.

Najiuluza hivi hawa vijana huwa wanakosa kabisa maneno ya staha yasiyoweza kuwaingiza mtegoni na hatimae kuadhibiwa kwa lugha zao za matusi?

Au huwa wanatukana makusudi ili waadhibiwe na watoke tena kusema wanaonewa?

Alichokifanya lijuakali ni dharau kwa Spika na Bunge lenyewe.Ni matarajio yangu Kamati ya maadili itamshughulikia ipasavyo.

Mtu kama huyo kwa nini Bunge lisimpe adhabu ya maisha!?
Tena wahuni wajinga
 
Pesa siyo kila kitu, unaweza Kuwait unalalia mabilioni lakini umepoteza matumaini, an pia una wera kuwa masikini lakini una amani na matumaini.
Mfano wewe ni mgonjwa mahututi lakini una mabilioni benki matumaini unayapata wapi
Mwenzako analamba zaidi ya milioni kumi kwa mwezi wewe unamwita kapoteza matumaini?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akizungumza na baadhi ya wana habari Mbunge huyo wa Kilombero amemuita Spika na Ofisi yake ni wahuni kwa sababu ya wao kumfanyia uhuni Nassari aliyepata kuwa Mbunge wa Meru Mashariki.

Najiuluza hivi hawa vijana huwa wanakosa kabisa maneno ya staha yasiyoweza kuwaingiza mtegoni na hatimae kuadhibiwa kwa lugha zao za matusi?

Au huwa wanatukana makusudi ili waadhibiwe na watoke tena kusema wanaonewa?

Alichokifanya lijuakali ni dharau kwa Spika na Bunge lenyewe.Ni matarajio yangu Kamati ya maadili itamshughulikia ipasavyo.

Mtu kama huyo kwa nini Bunge lisimpe adhabu ya maisha!?
SERUKAMBA ALITUKANA BUNGENI "MOTHER FUCKER" VIDEO IPO MPAKA LEO! AU KWA VILE ANATOKA CHAMA LETU??
 
Akizungumza na baadhi ya wana habari Mbunge huyo wa Kilombero amemuita Spika na Ofisi yake ni wahuni kwa sababu ya wao kumfanyia uhuni Nassari aliyepata kuwa Mbunge wa Meru Mashariki.

Najiuluza hivi hawa vijana huwa wanakosa kabisa maneno ya staha yasiyoweza kuwaingiza mtegoni na hatimae kuadhibiwa kwa lugha zao za matusi?

Au huwa wanatukana makusudi ili waadhibiwe na watoke tena kusema wanaonewa?

Alichokifanya lijuakali ni dharau kwa Spika na Bunge lenyewe.Ni matarajio yangu Kamati ya maadili itamshughulikia ipasavyo.

Mtu kama huyo kwa nini Bunge lisimpe adhabu ya maisha!?
ni wakati umefika wa kunya kuitwe kunya na si kujisaidia.

namuunga mkono huyu mbunge
 
Pesa siyo kila kitu, unaweza Kuwait unalalia mabilioni lakini umepoteza matumaini, an pia una wera kuwa masikini lakini una amani na matumaini.
Mfano wewe ni mgonjwa mahututi lakini una mabilioni benki matumaini unayapata wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea ukweli mtumpu mkuu, lakini sio kwa wanasiasa wetu wa Afrika wao wanaangalia matumbo na familia zao ndo maana dogo nassari anakwambia hajutii kuupoteza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom