Lijualikali amuita Spika na Ofisi yake 'Wahuni'!

alexelias

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2017
Posts
2,032
Reaction score
3,198
Akizungumza na baadhi ya wana habari Mbunge huyo wa Kilombero amemuita Spika na Ofisi yake ni wahuni kwa sababu ya wao kumfanyia uhuni Nassari aliyepata kuwa Mbunge wa Meru Mashariki.

Najiuluza hivi hawa vijana huwa wanakosa kabisa maneno ya staha yasiyoweza kuwaingiza mtegoni na hatimae kuadhibiwa kwa lugha zao za matusi?

Au huwa wanatukana makusudi ili waadhibiwe na watoke tena kusema wanaonewa?

Alichokifanya lijuakali ni dharau kwa Spika na Bunge lenyewe.Ni matarajio yangu Kamati ya maadili itamshughulikia ipasavyo.

Mtu kama huyo kwa nini Bunge lisimpe adhabu ya maisha!?
 
Mleta mada wewe ndiye mhuni na mfitini, na si ajabu maisha yako yanategemea umbeya kuyaendesha.

Na nikueleze hata wakifukuzwa wapinzani wote. Maendeleo chini ya CCM hayapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi lile Tukio aliyomchapa mgombea mwenzake na fimbo hadi kuzimia we unalichukuliaje

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mawazo hayo ingekuwa kwetu ungependekeza gazeti hili lifungiwe maisha na wahariri wake wanyongwe.
IMG_20190317_123901.jpeg
 
Akizungumza na baadhi ya wana habari Mbunge huyo wa Kilombero amemuita Spika na Ofisi yake ni wahuni kwa sababu ya wao kumfanyia uhuni Nassari aliyepata kuwa Mbunge wa Meru Mashariki.

Najiuluza hivi hawa vijana huwa wanakosa kabisa maneno ya staha yasiyoweza kuwaingiza mtegoni na hatimae kuadhibiwa kwa lugha zao za matusi?

Au huwa wanatukana makusudi ili waadhibiwe na watoke tena kusema wanaonewa?

Alichokifanya lijuakali ni dharau kwa Spika na Bunge lenyewe.Ni matarajio yangu Kamati ya maadili itamshughulikia ipasavyo.

Mtu kama huyo kwa nini Bunge lisimpe adhabu ya maisha!?
Sio tu mhuni ni speaker mbinafsi asiye na utu.Hiv hujui huyu speakervmgonjwa yey ametumia mamilion ya pesa kujitibu huku akikaa five star hotel na familia yake kujiokoa na gonjwa lake lakini huyu huyu mgonjwa amemnyima hela ya matibabu mwenzake aliyepigwa risasi akiwa kazini!!!Alitakiwa wamwite ibilisi
 
Mleta mada wewe ndiye mhuni na mfitini, na si ajabu maisha yako yanategemea umbeya kuyaendesha.

Na nikueleze hata wakifukuzwa wapinzani wote. Maendeleo chini ya CCM hayapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi viroboto vya lumumba vinaanza hivi kushadadia wenzao wahukumiwe baada ya kufanikiwa kumnyanganya Lissu mshahara.Huyu mgogo ataacha legacy mbovu sana!!
 
Akizungumza na baadhi ya wana habari Mbunge huyo wa Kilombero amemuita Spika na Ofisi yake ni wahuni kwa sababu ya wao kumfanyia uhuni Nassari aliyepata kuwa Mbunge wa Meru Mashariki.

Najiuluza hivi hawa vijana huwa wanakosa kabisa maneno ya staha yasiyoweza kuwaingiza mtegoni na hatimae kuadhibiwa kwa lugha zao za matusi?

Au huwa wanatukana makusudi ili waadhibiwe na watoke tena kusema wanaonewa?

Alichokifanya lijuakali ni dharau kwa Spika na Bunge lenyewe.Ni matarajio yangu Kamati ya maadili itamshughulikia ipasavyo.

Mtu kama huyo kwa nini Bunge lisimpe adhabu ya maisha!?
Kampe mkeo anadhabu ya kitanda kwanza

Naye afukuzwe pia.
 
kuna matendo yanafanywa na spika yana elementi za kihuni, kwa mfano anawezaje kumfukuza ubunge mbunge wake ubunge bila kumpa nakala ya kufukuzwa? anadai lissu hajui alipo na ni mtoro wa kudumu kwenye vyombo vya habari, je yeye kama kiongozi amechukua hatua gani kuongea na mbunge wake huyo privately? kuna vitendo vinachafua hdhi ya bunge.
 
Akizungumza na baadhi ya wana habari Mbunge huyo wa Kilombero amemuita Spika na Ofisi yake ni wahuni kwa sababu ya wao kumfanyia uhuni Nassari aliyepata kuwa Mbunge wa Meru Mashariki.

Najiuluza hivi hawa vijana huwa wanakosa kabisa maneno ya staha yasiyoweza kuwaingiza mtegoni na hatimae kuadhibiwa kwa lugha zao za matusi?

Au huwa wanatukana makusudi ili waadhibiwe na watoke tena kusema wanaonewa?

Alichokifanya lijuakali ni dharau kwa Spika na Bunge lenyewe.Ni matarajio yangu Kamati ya maadili itamshughulikia ipasavyo.

Mtu kama huyo kwa nini Bunge lisimpe adhabu ya maisha!?
tena Ndugai anastahili tusi kubwa kuliko hata hilo , yaweza isiwe kwa kosa la Nassari tu bali kwa mambo mengine mengi sana .
 
Back
Top Bottom