Lijualikali amuita Spika na Ofisi yake 'Wahuni'!

Akizungumza na baadhi ya wana habari Mbunge huyo wa Kilombero amemuita Spika na Ofisi yake ni wahuni kwa sababu ya wao kumfanyia uhuni Nassari aliyepata kuwa Mbunge wa Meru Mashariki.

Najiuluza hivi hawa vijana huwa wanakosa kabisa maneno ya staha yasiyoweza kuwaingiza mtegoni na hatimae kuadhibiwa kwa lugha zao za matusi?

Au huwa wanatukana makusudi ili waadhibiwe na watoke tena kusema wanaonewa?

Alichokifanya lijuakali ni dharau kwa Spika na Bunge lenyewe.Ni matarajio yangu Kamati ya maadili itamshughulikia ipasavyo.

Mtu kama huyo kwa nini Bunge lisimpe adhabu ya maisha!?
Adhabu ya maisha! Unamaanisha nini mkuu?

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MHUNI

[Nomino] (Plural 'Wahuni')

1. Mtu Asiye Na Makazi Maalumu.

2. Mtu Asiye Na Tabia Nzuri.

In English:
1. THUG
2. HOOLIGAN
3. VAGABOND
4. PUNK
5. CROOK
 
kuna matendo yanafanywa na spika yana elementi za kihuni, kwa mfano anawezaje kumfukuza ubunge mbunge wake ubunge bila kumpa nakala ya kufukuzwa? anadai lissu hajui alipo na ni mtoro wa kudumu kwenye vyombo vya habari, je yeye kama kiongozi amechukua hatua gani kuongea na mbunge wake huyo privately? kuna vitendo vinachafua hdhi ya bunge.
Mbona neno muhuni lina staha sana. Huyu jamaa ni zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akizungumza na baadhi ya wana habari Mbunge huyo wa Kilombero amemuita Spika na Ofisi yake ni wahuni kwa sababu ya wao kumfanyia uhuni Nassari aliyepata kuwa Mbunge wa Meru Mashariki.

Najiuluza hivi hawa vijana huwa wanakosa kabisa maneno ya staha yasiyoweza kuwaingiza mtegoni na hatimae kuadhibiwa kwa lugha zao za matusi?

Au huwa wanatukana makusudi ili waadhibiwe na watoke tena kusema wanaonewa?

Alichokifanya lijuakali ni dharau kwa Spika na Bunge lenyewe.Ni matarajio yangu Kamati ya maadili itamshughulikia ipasavyo.

Mtu kama huyo kwa nini Bunge lisimpe adhabu ya maisha!?
Alexelias inaonyesha wewe ni mgeni hapa mjini!...huyu jamaa yako ndugai mbona ni mhuni wa muda mrefu!... Ulikuwa wapi alimpomchapa bakora hadharani mgombea mwenzake?. Au hukuwahi kusikia kauli za kuhusu mbunge mwenzake lisu? Mbona yapo mengi tu ya kifamilia ambayo anaya handle kihunihuni tu?, njoo huku kibaigwa ndio utamjua. Angalia wasije kukuambukiza bro
 
Ni Tanzania pekee ambapo kutukana, kudhihaki, kejeli na majungu ni sehemu ya uhuru wa kutoa maoni.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Kwenye sheria sisi tunaamini si kosa wala si udharilishaji ukiitwa kwa sifa uliyonayo. Mfano; ukiitwa wewe hanithi na kweli wewe ni hanithi, aliyekuita hajakutukana wala hajakudharilisha. Lijuakali anaweza kuthibitisha uhuni wa jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akizungumza na baadhi ya wana habari Mbunge huyo wa Kilombero amemuita Spika na Ofisi yake ni wahuni kwa sababu ya wao kumfanyia uhuni Nassari aliyepata kuwa Mbunge wa Meru Mashariki.

Najiuluza hivi hawa vijana huwa wanakosa kabisa maneno ya staha yasiyoweza kuwaingiza mtegoni na hatimae kuadhibiwa kwa lugha zao za matusi?

Au huwa wanatukana makusudi ili waadhibiwe na watoke tena kusema wanaonewa?

Alichokifanya lijuakali ni dharau kwa Spika na Bunge lenyewe.Ni matarajio yangu Kamati ya maadili itamshughulikia ipasavyo.

Mtu kama huyo kwa nini Bunge lisimpe adhabu ya maisha!?
Hivi mtu akifanya kitendo cha kihuni kama kile alichofanya spika, anatakiwa kuitwa nani?,
 
Akizungumza na baadhi ya wana habari Mbunge huyo wa Kilombero amemuita Spika na Ofisi yake ni wahuni kwa sababu ya wao kumfanyia uhuni Nassari aliyepata kuwa Mbunge wa Meru Mashariki.

Najiuluza hivi hawa vijana huwa wanakosa kabisa maneno ya staha yasiyoweza kuwaingiza mtegoni na hatimae kuadhibiwa kwa lugha zao za matusi?

Au huwa wanatukana makusudi ili waadhibiwe na watoke tena kusema wanaonewa?

Alichokifanya lijuakali ni dharau kwa Spika na Bunge lenyewe.Ni matarajio yangu Kamati ya maadili itamshughulikia ipasavyo.

Mtu kama huyo kwa nini Bunge lisimpe adhabu ya maisha!?
Hata sijui alipatikana vipi huyu kuwa Mbunge.
 
Kwenye sheria sisi tunaamini si kosa wala si udharilishaji ukiitwa kwa sifa uliyonayo. Mfano; ukiitwa wewe hanithi na kweli wewe ni hanithi, aliyekuita hajakutukana wala hajakudharilisha. Lijuakali anaweza kuthibitisha uhuni wa jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo mengine mnataka sheria ila mengine hekima si ndio?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Nakuunga matako hoja yako. Akifungiwa TANZANIA itakuwa na viwanda vingi na maisha yatakuwa bora kwa kila raia. Mahospitali yatakuwa na dawa na vifaa na wataalamu wa kutosha. Umeme utawaka TANZANIA nzima tena kwa shilingi 50 kwa uniti. Acha ashikishwe adabu nyau we afu sijui utapata faida gani hali chako halali kwako?
Akizungumza na baadhi ya wana habari Mbunge huyo wa Kilombero amemuita Spika na Ofisi yake ni wahuni kwa sababu ya wao kumfanyia uhuni Nassari aliyepata kuwa Mbunge wa Meru Mashariki.

Najiuluza hivi hawa vijana huwa wanakosa kabisa maneno ya staha yasiyoweza kuwaingiza mtegoni na hatimae kuadhibiwa kwa lugha zao za matusi?

Au huwa wanatukana makusudi ili waadhibiwe na watoke tena kusema wanaonewa?

Alichokifanya lijuakali ni dharau kwa Spika na Bunge lenyewe.Ni matarajio yangu Kamati ya maadili itamshughulikia ipasavyo.

Mtu kama huyo kwa nini Bunge lisimpe adhabu ya maisha!?

get well soon tl
 
Ndungai sio tu ni MUHUNI ila pia ni muovu kupindukia!Yeye alipoenda India kutibiwa kale kaugonjwa kalikopelekea kujatwa vidole vya miguu mbona ubunge wake haukusitishwa???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
eti hajui tundu mahali alipo kama huo sio uhuni ni nini!
 
Akizungumza na baadhi ya wana habari Mbunge huyo wa Kilombero amemuita Spika na Ofisi yake ni wahuni kwa sababu ya wao kumfanyia uhuni Nassari aliyepata kuwa Mbunge wa Meru Mashariki.

Najiuluza hivi hawa vijana huwa wanakosa kabisa maneno ya staha yasiyoweza kuwaingiza mtegoni na hatimae kuadhibiwa kwa lugha zao za matusi?

Au huwa wanatukana makusudi ili waadhibiwe na watoke tena kusema wanaonewa?

Alichokifanya lijuakali ni dharau kwa Spika na Bunge lenyewe.Ni matarajio yangu Kamati ya maadili itamshughulikia ipasavyo.

Mtu kama huyo kwa nini Bunge lisimpe adhabu ya maisha!?
Mpumbavu wewe, tena nawaongezea ni wangese sana, mamaa zao kabisa na wewe pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugai sio tu mhuni!!inatosha kutukanwa matusi makubwa uhuni sio tusi Bali ni tabia Fulani Fulani kwa lugha ya baba wa taifa aliziita uhuni kufanya mambo bila kufuata taratibu na sheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akizungumza na baadhi ya wana habari Mbunge huyo wa Kilombero amemuita Spika na Ofisi yake ni wahuni kwa sababu ya wao kumfanyia uhuni Nassari aliyepata kuwa Mbunge wa Meru Mashariki.

Najiuluza hivi hawa vijana huwa wanakosa kabisa maneno ya staha yasiyoweza kuwaingiza mtegoni na hatimae kuadhibiwa kwa lugha zao za matusi?

Au huwa wanatukana makusudi ili waadhibiwe na watoke tena kusema wanaonewa?

Alichokifanya lijuakali ni dharau kwa Spika na Bunge lenyewe.Ni matarajio yangu Kamati ya maadili itamshughulikia ipasavyo.

Mtu kama huyo kwa nini Bunge lisimpe adhabu ya maisha!?
Spika na wajinga wenzake ni wahuni tu na wapuuzi!
 
Spika na ofisi yake ya ccm ni wahuni anaishi kwa kumfurahisha jiwe
Akizungumza na baadhi ya wana habari Mbunge huyo wa Kilombero amemuita Spika na Ofisi yake ni wahuni kwa sababu ya wao kumfanyia uhuni Nassari aliyepata kuwa Mbunge wa Meru Mashariki.

Najiuluza hivi hawa vijana huwa wanakosa kabisa maneno ya staha yasiyoweza kuwaingiza mtegoni na hatimae kuadhibiwa kwa lugha zao za matusi?

Au huwa wanatukana makusudi ili waadhibiwe na watoke tena kusema wanaonewa?

Alichokifanya lijuakali ni dharau kwa Spika na Bunge lenyewe.Ni matarajio yangu Kamati ya maadili itamshughulikia ipasavyo.

Mtu kama huyo kwa nini Bunge lisimpe adhabu ya maisha!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kipindi kibovu na cha kihuni kama hiki! Eh kumbe kihuni tusi basi balaaa ngoja nile mgebuka nipumzke
 
Back
Top Bottom