Lijualikali alivyomchefua spika bungeni

Hawa hapa





Hii staili(style) yako nina mashaka nayo. Unajifunza kuaplodi (to upload) picha.

Back to the thread, Lijualikali kamwaga point tupu,
mwanzo upinzani walizomewa means walionekana hawajui wanachochangia,...
 
Mbunge Lijualikali alisema wabunge wenye akili kubwa walikuwa wakidai mikataba ya madini ina tatizo tangia mwanzo, na wenye akili ndogo wakawa wanawazomea na kuwakashifu, spika alionekana kukerwa na kauli hii na kumuonya

Jiwe la kurushwa gizani, lakini limerushwa mchana kweupe pee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…